Mwafaka bado kati ya ccm na UKAWA,

zoea

Member
Dec 7, 2011
22
1
katika mkutano unaoendelea bado hakuna maridhiano kati ya CCM na UKAWA kila upande unavutia kwake,Rais akwamue,

Chanzo: Deutsche Welle
 
Kikwete na CCM yake lao moja!

JK hayuko huru katika hili jambo na pia hayuko "fair".
 
katika mkutano unaoendelea bado hakuna maridhiano kati ya CCM na UKAWA kila upande unavutia kwake,Rais akwamue,"dochvere
Hiyo ngoma bila kuongea ukweli aliyeanzisha na nia nzuri katikati akaharibu haitaenda. Wakati mwingine kiburi sio kizuri, jamaa wa ccm wanafanya kiburi cha waziwazi nakukwepa kwenye ukweli mchana kweupe.
 
Hapo zinahitajika busara za hali ya juu lakini kwa hiyo staili yao sijui kama kuna kufikia muafaka.........Lukuvi, Wassira, Nchemba, Kigwangala, Werema na Sendeka halafu uwafunike kwenye chungu kimoja na Lissu, Mnyika,Msigwa,Mdee, Machali, Mkosamali na Lipumba..........hapo lazima kitokee kishindo cha ajabu.........ila zangu dua Mungu atunusuru na hichi kliwingu.
 
katika mkutano unaoendelea bado hakuna maridhiano kati ya CCM na UKAWA kila upande unavutia kwake,Rais akwamue,

Chanzo: Deutsche Welle
J.Key yuko zake USA akingojea kuongea na Watanzania waliko DC Maryland, Virginia NY etc. Kaacha moto home, anaenda kula summer US. What a joke!!! Soma blog ya vijimambo utaona tangazo la mkutano
 
ccm itatumia killa mbinu kupata katiba mpya ikishindwa bungeni basi kwa wananchi. Ukawa watakuja kutawanywa.ccm wana dola na pesa. Watashinda. Wananchi wasubiri tu watazoea hawana chao.
 
Sasa wao ccm si walisema katiba itapita bila UKAWA Sasa wanataka muafaka wa nini ? wakati wenyewe tayari wana katiba yao mfukoni, watakaoleta machafuko ni wao CCM kwa kiburi tu walichonacho
 
Sasa wao ccm si walisema katiba itapita bila UKAWA Sasa wanataka muafaka wa nini ? wakati wenyewe tayari wana katiba yao mfukoni, watakaoleta machafuko ni wao CCM kwa kiburi tu walichonacho

Acha kupotosha,huo ni uhaini
 
Hivi ndege za viongozi waliovuruga mchakato wa katiba yetu wanaposafiri nje ya nchi, ndege zao hazifanyi route kupitia walipo waasi wanaoungwa mkono na Russia 'walioshusha' ndege ya Malaysia? Maana hawa viongozi wasanii wetu thamani yao imetoweka, wanatukera kwa kiwango cha kupindukia. Wahastahili tu adhabu ya kabr waachie taifa lipate Uhuru.
 
CCM mjue nguvu ya umma sio masiara damu itamwagika serikali 3 lazima mwataka hamtaki habari ndio hiyo
 
Back
Top Bottom