Mvutano kati ya serikali na kamati ya fedha

mwaJ

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
4,074
2,947
Bungeni muda huu kuna mvutano mkali kati ya serikali na kamati ya fedha kuhusu kuongeza muda wa uhai wa Consolidated Holding Corporation. Kamati na kambi ya upinzani wanataka CHC wapewe muda mrefu zaidi wkt serikali yawapa miaka 3 baadae kazi zake zipelekwe kwa Treasury Registrar!
 
Mawaziri wamekasirika! Mbunge wa ccm ambae ni mjumbe wa kamati nae anamunga mkono Zitto. Anasema TR hataweza kufanya shughuli za CHC maana hajui hata hati za hisa za serikali ktk makampuni ambayo serikali ina hisa ziko wapi.
 
CCM imezinduka mbunge KANGI RUGOLA sijuwi nijimbogani ameogeya hadi upinzai wakasema umewaambia hao ccm tatizo homa ya vipindi inapanda kesho inashuka
 
Back
Top Bottom