Mvuta Bangi!

hiyo mibangi mnayoo vuta ni stimu za kulanduka kama siyoo fani yako kwa kweli utaumbukaaa....isome kama unaimba

imba kwa sauti ya kishairi. Mwingine alikuwa anaenda kuoga baada ya kuvuta bangi, akakuta njiti za kiberiti akaomba msaada asaidiwe kunyanyua ndoo kuna magogo kwenye maji. Bange bana!
 
Bana me bangi zote nimevuta ila kitu cha Malawi cjui wanachanganya na nini maana kila nikivuta me huwa napiga sarakasi tu,mkono wangu wa kulia umevunjika mara 3,ila bangi ina raha yake nasikia mheshimiwa fulani naye anayagonga ile mbaya!jamani mibangi itaniua mie Mdau Mkuu!
 
Wavuta bangi wawili walikuwa wanashindana usiku wa mbalamwezi, mmoja anasema ni mwezi, wa pili anasema ni jua. Wakakubaliana ubishi wao umalizwe na mtu wa mwanzo atayetokea na kuwaamulia ubishi wao. Jamaa alotokea yeye ndio alikuwa chordo kabisaa. Walipomuliza akajibu: Samahani kaka zangu sielewi kama ule ni mwezi au ni jua kwani mimi siishi mitaa hii.
 
Kama alikufa palepale nyie mlijuaje kuwa aliona pikipiki mbili na yeye akaamua apite katikati?
mvuta bangi bwana akaomba pikipiki ya rafiki yake, ilikuwa majira ya usiku akaamua aelekee maeneo yanayoitwa soweto huko moshi kupitia barabara ya kwenda arusha. Mbele kulikuwa na gari linakuja; bangi za jamaa zikamponza, yeye baada ya kuona taa mbili za lile gari akafikiri ni pikipiki mbili zinakuja mbele yake, hivyo akaona apite katikati ya zile pikipiki, matokeo yake yakawa kifo. Bangi bwana sio nzuri!!!
 
Frolida marekani,walikuwa wanasafisha wavuta bangi ambaoo wameisha athirika na bangi wapo kama machizi wakati wapo kwenye ndege yule msimamizi akaenda kupiga stori na lubani alivyo rudi akakuta mvutabangimmoja kainama akamuuliza kwa amaki WENZIYO WAKO WAPI??jamaa akamjibu wapo nje wanapata stimu pale kijiweni!!akachoka watu 48 wakawa wamekufa!!
 
Bangi noma wkt tukiwa student rfk yangu alikuwa akivuta bangi pembeni ya kijimto flani ilikuwa saa mbili usiku wakati wa prepo, ghafla akaanza kupiga kelele akidai nyuki wanamkimbiza, alikimbia hadi bwenini na kuingia uvunguni mwa deka, alilala uvunguni hadi saa nne usiku alitoka uvunguni baada ya sisi kutoka propo, kwa madai eti alijificha nyuki wasimuume.
 
kitu cha malawi wakivuna wanaweka kwenye kiroba then wanadumbukiza t***et ikining'inia kwa wiki3 then wanaitoa kwa mauzo.
ule msumari balaa babu,Kwanza paper yake ni nyekundu ukikitoa humo ndani unaweza ukakipigiza ukutani zaidi ya mara 5 wala kisipukutike,Resi 2 tu unabembea kinoma yani,Kumbe Kinawekwa kwenye Nyeeee...!!kwa 3 weeks?? duh!!!
 
Jamaa mmoja alikwenda kuwinda mchana wa jua kali mara baada ya kupata sigara kali. Akiwa msituni haja kubwa ikambana. Basi akahamua kwenda kuchimba dawa. Wakati anamaliza kushusha kifaru, wale inzi wakubwa wenye rangi ya bluu au kijani wakaanza kumzunguka miguuni. Jamaa akatetemeka na kuogopa sana. Hili kuokoa maisha yake akimbilia bunduki yake na kuanza kulenga kifaru hili awauwe wale inzi.
 
nasikia bangi ni dawa ya sikio hivi ni kweli?
Hiyo dawa ni zaidi ya mwarobaini, hata kwenye Biblia imeandikwa:

"In the midst of the street of it, and on either side of the river, was there the tree of life, which bare twelve manner of fruits, and yielded her fruit every month: and the leaves of the tree were for the healing of the nations."

Revelation 22:2
 
Ni dawa ya macho vilevile mkitaka nitawapeni jinsi ulivyoponyesha macho ya rais mmoja wa Africa.
 
Back
Top Bottom