Mvua Kubwa ya Upepo Mkali Balaa Dar!.

hata huku fire ilikuwa kubwa sana
lakini sasa imekwisha na maisha yanasonga.
 
Niko Boko huku. Sijawahi kuona mvua kama hii. Hamna kwenda kazini, watoto hamna kwenda shule mpaka kieleweke.

huku kwetu kuna kimbunga kutoka kwenye jua.....aaaghhh.....kinawasha......

 
Tangu saa 12 na nusu bado sijafika mjini yaani... Foleni haisogei bado sijavuka Selander... nadhani nitaingia saa nne...
 
Wajameni
Eneo ninaloishi mimi hapa Dar, kuna mvua kubwa balaa iliyoambatana na upepo mkali wa hatari inayonyesha sasa, siwezi kutoka kwenda kazini na watoto nimewazuia wasiende shule!.

Vipi upande wa eneo lako mvua hii imefika au ni kwa baadhi ya maeneo tuu?!.


Pasco unakaa mabondeni ?
Umeweza kwenda job?
 
huwa sielewi...connection ya mvua na foleni dar!

1. Dreva hua hawezi kuona mbali kwa % za kawaida ambapo hakuna mvua .
2. Windscreen humidity , huchangia pia uonekano mbele usiwe mzuri.
Na kuwafanya waendeshe slow
 
1. Dreva hua hawezi kuona mbali kwa % za kawaida ambapo hakuna mvua .
2. Windscreen humidity , huchangia pia uonekano mbele usiwe mzuri.
Na kuwafanya waendeshe slow

vip kuhusu barabara zetu!?
 
Back
Top Bottom