Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Dawa ya utangatanga(mba) ni alfu tu..inamshinda pia?naskikia BMW anamfadhili kumng'oa Kimaro kule Vunjo...duh njaa mbaya sana..no wonder anamsifia Kikwete sasa
Wewe huuoni au hutaki kuukubali.....maradhi yanatibika hayo
Kamtibu basi kama unajua yanatibika na una dawa yake.
Omba uendelee kuyaona kwa wenzio na yasikukute!
Dawa ya utangatanga(mba) ni alfu tu..inamshinda pia?naskikia BMW anamfadhili kumng'oa Kimaro kule Vunjo...duh njaa mbaya sana..no wonder anamsifia Kikwete sasa
..Mazee huo sio utangotango wa kutibiwa kwa 1,000, ni hitilafu zinazotokea ndani ya ngozi ya binadamu. Kwamba mwili unashindwa ku-maintain uwezo wake wa kuproduce pigments za kumfanya mtu mweusi kuwa mweusi na badala yake hutokea hayo mabaka meupe. Hizo ni sehemu ambazo pigments za ngozi zimekufa. Huu ugonjwa kitabibu wanaita "vitilgo". Ugonjwa unatibika lakini it takes too long mpaka mtu kuja ku-recover. Utangotango ni bacteria.Dawa ya utangatanga(mba) ni alfu tu..inamshinda pia?naskikia BMW anamfadhili kumng'oa Kimaro kule Vunjo...duh njaa mbaya sana..no wonder anamsifia Kikwete sasa
yani this is very sad, wewe uliyeandika hii post unafurahia kuwa amechoka, is this fair? Why are we being hypocrites? Vita dhidi ya ufisadi itaisha kwa this style of thinking? What message are you sending to tanzanian?