Muzee wa Kiraracha choka mbaya ama?

Dawa ya utangatanga(mba) ni alfu tu..inamshinda pia?naskikia BMW anamfadhili kumng'oa Kimaro kule Vunjo...duh njaa mbaya sana..no wonder anamsifia Kikwete sasa
 
Dawa ya utangatanga(mba) ni alfu tu..inamshinda pia?naskikia BMW anamfadhili kumng'oa Kimaro kule Vunjo...duh njaa mbaya sana..no wonder anamsifia Kikwete sasa

Ndg kitu usichokijua sio vizuri kukijibu, hujafa hujaumbika. Una uhakika huo ni mmba wa kutibiwa kwa buku?
 
Wahenga wanasema adui muombee njaa,
watanyosha mikono juu hata kama ni shujaa...
Mzee wetu hapa jogoo wa kiraracha ndo kisha pigwa na njaa kali ya kisiasa.. Kwa kizungu cha mitaani tunasema amefulia ile mbaya....
Katepeta kawa kama bendera.... Sasa hivi utamsikia anarudi rasmi nyumbani a.k.a thithiem
 
Haka kajamaa ndiyo kapiganaji halisi ka mlala hoi na hakuanza leo, tatizo letu wabongo wepesi sana kusahau, wakati wake wizara ya mambo ya ndani palikuwa panafurika watu utakiri upo Muhimbili, waliokuwa wananyimwa haki zao, huyu mzee, ndio alikuwa kimbilio lao, Dar ilitakata ndani ya two weeks pamoja na kuwa maam Chips alimjia juu, Kariakooo palipendeza, majambawazi yalituliza ball, mafisadi ndani na nje ya CCM yalipata kalinye kalinye, lakini leo tunamkejeri. MAY BE kachoka ile mbaya kwa sababu hakuiba au aliiba kiduchu, uzarendo umemponza. angejua angepiga PORORO la nguvu then akajilia kimya kimya...hatutakiwi kumvunja moyo huyu kamanda, maana watu wa namna hii wachache sana africa...
 
Dawa ya utangatanga(mba) ni alfu tu..inamshinda pia?naskikia BMW anamfadhili kumng'oa Kimaro kule Vunjo...duh njaa mbaya sana..no wonder anamsifia Kikwete sasa
..Mazee huo sio utangotango wa kutibiwa kwa 1,000, ni hitilafu zinazotokea ndani ya ngozi ya binadamu. Kwamba mwili unashindwa ku-maintain uwezo wake wa kuproduce pigments za kumfanya mtu mweusi kuwa mweusi na badala yake hutokea hayo mabaka meupe. Hizo ni sehemu ambazo pigments za ngozi zimekufa. Huu ugonjwa kitabibu wanaita "vitilgo". Ugonjwa unatibika lakini it takes too long mpaka mtu kuja ku-recover. Utangotango ni bacteria.
 
mzee wetu tunampenda sana kwani ni mtetezi kweli yuko tayari kukosa yeye kwa manufaa ya wanyonge MUNGU ambariki na ampe nguvu 2010 aweze kutwakilisha vyema mjengoni... namuaminia!
 
Yani this is very sad, wewe uliyeandika hii post unafurahia kuwa amechoka, is this fair? Why are we being hypocrites? vita dhidi ya ufisadi itaisha kwa this style of thinking? what message are you sending to Tanzanian?
 
yani this is very sad, wewe uliyeandika hii post unafurahia kuwa amechoka, is this fair? Why are we being hypocrites? Vita dhidi ya ufisadi itaisha kwa this style of thinking? What message are you sending to tanzanian?

good message
 
mwendawazimu na au mtoto mdogo ndiye anayeweza kumkejeli huyu mzee. kwa awamu zote tatu, ya mwinyi, mkapa na kikwete hakuna alipambana na ufisadi mpaka akaamua kujiuzulu uwaziri kama huyu. ninyi watoto wa jana na leo hamumjui huyu mzee. Laiti angekuwa waziri wa mambo ya ndani leo au waziri wa utawala bora au mkurugenzi wa TAKUKURU nchi isingekuwa hivi.

Mungu amponye!!!!!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom