Muuzaji wa sprear parts za magari

mwambyetete

Senior Member
May 17, 2018
126
196
Habari wapendwa,,nakumbuka niliwahi kuona uzi humu jamaa alipost juu ya kuuza spear za magar ambapo watu walikuwa wakimuuliza maswali na anawajibu vizur kwa kuwatajia bei ya spear wanazozitaka
Nimejaribu kuutafuta huo uzi sijauona,,tafadhali kama kuna mtu anaukumbuka au ana mawasiliano na huyo mtu nahitaji msaada wake plz wapendwa
 
Ingekuwa rahis kusema unahitaji spare zipi mkuu maana gari inavitu vingi sana tunaweza kutoa kumbe kitu unachokiitaji mtu husika hana but kwa oil original na mapambo ya magari original muone jamaa Instagram kwa jina la jo-spareparts anaweza kukusaidia shida yako na mawasiliano yake yapo
 
Kaka nahitaji buster ya break ya gar ndogo aina ya premio imekukufa seal za ndan hivo unarudisha upepo pindi unapokanyaga break

Back
Top Bottom