Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
nimekuwa nikiamini katika urithishwaji wa mawazo, tamaduni n.k. kuna methali inasema mtoto wa nyoka ni nyoka..Haya mambo yanayotokea leo Zanzibar hayajaanza leo,historia yake inadhihilishwa na kauli ya muasisi mwenza wa muungano mzee Karume aliposema Muungano ni kam koti.....wazanzibar wadai kujitenga from muungano,tunawang'ang'ania wanini? kwa maslai ya nan? ANGALIZO KWA WAZANZIBARDhambi ya ubaguzi ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu,huwezi acha..ukimbagua mwenzako leo kwa sababu ya eneo,kesho itakuwa kwa sababu ya rangi na lafudhi......natumaini wazanzibar mmauelewa mkubwa kuzidi hao wanauhamsho......wasalaam