Muswada wa katiba

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Waziri Kombani asisitiza muswada kusomwa mara ya pili. Asema kanuni za bunge zimefwata. TBC jambo
 
Ukisomwa, nina hakika ipo siku watailaani siku hii. Maana wao pamoja na vizazi vyao watalaaniwa.
 
Waziri Kombani asisitiza muswada kusomwa mara ya pili. Asema kanuni za bunge zimefwata. TBC jambo

huyu kiazi kombani asubiri matokeo ya huo ujinga wanaotaka kufanya. watanzania wa leo sio sio kama wa miaka ile. polisi,jeshi na mgambo hawataweza kuzuia nguvu ya umma.
 
Kuna kila dalili ya katiba kubakwa,Werema na mwenzie mzee wa Gombe wanatoka mapovu kuutetea huu mswada uendelee kama ulivyo
 
Huyu Wassira na AG nao wanasisitiza utasomwa kwa mara ya pili,ngoja tuone waupitishe
 
Kwa hali ilivyooneshwa na hawa jamaa hii kitu wanaenda kuipitisha hakika na hapa ndio tuwaonyeshee nguvu ya umma iko wapi
 
Nimesikitika sana jinsi watanzania wanavyolazimisha kuwa SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU,SIO KWELI ACHENI KUMSHIRIKISHA MUNGU KATIKA SIASA ZENU ZA DUNIANI,Mbona wengi walisema Asulubiwe lakini hawakua na kibali cha Mungu,Mbona wayahudi wengi walitaka waongozwe na mfalme badala ya kuwa chini ya manabii na makuhani,Wanaharakati wa Tanzania wata taka kuaminisha umma kuwa watu wengi walitaka jambo fulani lazima liwe na baraka za Mungu,huu nao ni unongo mwingine wa shetani tuupinge,level ya kibinadamu ya kutatua matatizo sio hekima ya Mungu.
 
Back
Top Bottom