Wabunge wa CCM wanataka kutupeleka tusipo taka inaonekana hawana haja na katiba mpya ndio maana kila anae changia hajikiti kwenye mswada mda wote umepotea kumjadili Tundu Lisu kwa bahati mbaya wabunge wengi kwa uelewa mdogo wameshindwa hata kumuelewa alicho mainisha kwa mfano alitaja uraisi wa kifalume hakumtaja kikwete na family yake akaitaja Zanzibar inaingia kwenye mchakato kama nchi tanganyika ina wakilishwa na nani? Kama tunataka katiba mpya itakayo kubalika na watu wa kada zote hotuba ya Tundu Lisu ina weza kuwa roadmap ya kuelekea katiba mpya, mbunge Kama Lusinde na wengine