Muswada wa katiba na umbumbumbu wa wabunge wa CCM

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Wabunge wa CCM wanataka kutupeleka tusipo taka inaonekana hawana haja na katiba mpya ndio maana kila anae changia hajikiti kwenye mswada mda wote umepotea kumjadili Tundu Lisu kwa bahati mbaya wabunge wengi kwa uelewa mdogo wameshindwa hata kumuelewa alicho mainisha kwa mfano alitaja uraisi wa kifalume hakumtaja kikwete na family yake akaitaja Zanzibar inaingia kwenye mchakato kama nchi tanganyika ina wakilishwa na nani? Kama tunataka katiba mpya itakayo kubalika na watu wa kada zote hotuba ya Tundu Lisu ina weza kuwa roadmap ya kuelekea katiba mpya, mbunge Kama Lusinde na wengine
 
lusinde alisema kuna haja ya wabunge kupimwa akili kwa hili naona awe wakwanza kupimwa akili zake kisha magamba mengine yamuunge mkono.
 
Natamani kuwachapa bakora wabunge wote wa CCM. Hili suala liko wazi kabisa kwanini wanajifanya hawauoni ukweli?. Grrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Kwa nini kila kinachofanywa na CHADEMA kichukuliwe kuwa ndio msimamo sahihi na vyama vingine ionekane kama ni haramu?
Naomba Watanzania tutufautiane kwa hoja.
Hivi mfumo wanaotaka kuutumia CHADEMA umefanyika katika nchi gani?
 
Natamani kuwachapa bakora wabunge wote wa CCM. Hili suala liko wazi kabisa kwanini wanajifanya hawauoni ukweli?. Grrrrrrrrrrrrrrrrr
Huu wote ni ugonjwa wa kuzoea kubebwa na UWT kwani wengi wa wabunge waliopitisha mswada tata ni "wabunge batili" kama si kubebwa waseme nani aliwachagua!!!!!!!!!!!!!! Ila kwa umbumbumbu huu sasa wanapeleka nchi kwenye watu kuchinjana kama Kenya!!!!!!! Wakamini FFU na maji ya upupu na risasi za moto kama Arusha zitawapa nafasi ya kutumia mbinu chafu za kuchakachua kwa kutumia UWT waliouza utu na kupoteza uzalendo kwa fedha za mafisadi.
 
Back
Top Bottom