Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
Afya ya huyo anaeanguka majukwaani!!!!!! Kisa eti kafunga ramadhani kwani analazimishwa wakati ni mgonjwa
 
Tatizo ni kwamba hawa ndugu zetu hawataki kusikia wala kuambiwa. Tujitahidi kuwashauri taratibu taratibu. Hope watajagundua baadaye kuwa tulichowaambia ni cha muhimu kuhusu afya ya huyu mtendaji wao mkuu.
Unaonaje afya ya amiri jeshi wetu umempa ushauri gani..

attachment.php
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu

Naamini kabisa kuwa kwa umri ulio nao na kijiellimu ulichopata kuwa wakati mwingine kukaa kimya huwa ni busara.
 
Nyamaza wee mla makombo.Mustafa Sabodo atawamaliza mwaka huu

Hiyo nguvu ya kutoa maneno machafu kama hayo unapata wapi?nyie mtaharibu chama'dr slaa anajitahidi kuweka misingi mizuri lakini hajui amezungukwa na wanyag'anyi
 
Wee, hawawezi jaribu kabisa kutenda hiyo dhambi!!

rejao bwana..!we cjui ni cuf au ccm..huwa ckuelewi bt iko hivi.. cdm haiwezi pokea pesa bila kujua chanzo cha mtoaji..kwa ufupi sabodo ni mmoja wa waagizaji wakubwa wa meli za mafuta hapa nchini..hii ni mojawapo ya bizness zake..
 
Hakuna Pro-Chadema JF ambaye anaweza kuzitaja biashara za Mustafa Sabodo zaidi ya kupokea pesa.

Labda wewe Pro-CCM JF unaweza kuzitaja biashara za Mustafa Sabodo maana na CCM wanapokea sana pesa za Sabodo..
 
rejao bwana..!we cjui ni cuf au ccm..huwa ckuelewi bt iko hivi.. cdm haiwezi pokea pesa bila kujua chanzo cha mtoaji..kwa ufupi sabodo ni mmoja wa waagizaji wakubwa wa meli za mafuta hapa nchini..hii ni mojawapo ya bizness zake..

Mustafa Sabodo Muislam safi anayetenda kama imani yake inavyomuelekeza.Mungu azidi kumpa barka.....
 
Wee, hawawezi jaribu kabisa kutenda hiyo dhambi!!

rejao bwana..!we cjui ni cuf au ccm..huwa ckuelewi bt iko hivi.. cdm haiwezi pokea pesa bila kujua chanzo cha mtoaji..kwa ufupi sabodo ni mmoja wa waagizaji wakubwa wa meli za mafuta hapa nchini..hii ni mojawapo ya bizness zake..
 
ccm chama cha makabwela watampa heshiam gani? kial mtu yuko pale kwa interest zake bwana
 
Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
kama umemwona leo na alikuwa ktk M4C kabla alikuwa ARUMERU mbona safi tu? mbona hata wewe mgonjwa mbona bado unauwezo hata kuandika huu uchafu?
 
Back
Top Bottom