Mussah Nzory

nzorymussah

Member
Nov 1, 2016
6
5
Habari ya jioni wapendwa......
Ni matumaini yangu Hamjambo humu ndani, Mimi ninaitwa Nzory Mussa kutoka Tanga Tanzania...

Nimeingia hapa kwa lengo la kutafuta MARAFIKI ambao tutakuwa tukishauriana mambo mbalimbali ya kimaisha na kusaidiana katika changamoto mbalimbali

Nina miaka 23
Niko chuo kwa sasa nachukua diploma ya uuguzi Na ukunga huku MTWARA
namba 0679592928

Lengo ni urafiki hivyo ambaye yuko interested Tuwasiliane au Aje inbox tuweze kuwasiliana na kufahamiana , sina tatizo wala sichagui dini ,elimu wala kabila lakini rafiki huyo awe WA rika langu

NB... Umri 20 - 25


Nawatakieni jioni njema wapendwa

2686bbb700e255d509b68066beae40c5.jpg
 
inbox ndo wapi?


hivi fedha za vocha umeshazitenga za kumuungia ili muwasiliane kwa chating?
 
~~~>>>>>Huko shule/Nyumbani huna marafiki????............
 
~~~>>>>>Huko shule/Nyumbani huna marafiki????............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom