MUSOMA kesho...Mwita, Maranya nahisi huku ntawakuta,msiniangushe aisee!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
nahamia huku!...kama Jf member upo usisite kufanya mawasiliano.nataka kupata maeneo ya kujidai huku kwenyuuu!
 
tena huyo huyo Mwita Maranya ndo umtafute.....anapatikana huko huko hata mimi nilipokwenda....alinitembeza sana na alinikaribisha kwake nikala ugali wa udaga na kimolo....
 
tena huyo huyo Mwita Maranya ndo umtafute.....anapatikana huko huko hata mimi nilipokwenda....alinitembeza sana na alinikaribisha kwake nikala ugali wa udaga na kimolo....

unaona sasa....thanks Preta...huku geita kuna mtu kanikimbia live yani!...duh!..ivi namba yake ndo ile inaishia na 17 sio.?
 
unaona sasa....thanks Preta...huku geita kuna mtu kanikimbia live yani!...duh!..ivi namba yake ndo ile inaishia na 17 sio.?

hiyo hiyo....usisahau kumwambia akutembeze na maeneo ya Kiabakari....
 
hiyo hiyo....usisahau kumwambia akutembeze na maeneo ya Kiabakari....

sijui ntakumbuka...huna desa mamaa??anyway ntakua naimba mpaka nafika!...enhee nibebe nini cha kujihadhari??
 
kaka sorry, nimefika maeneo karibu na huko kwako, lakini sikutembea na laptop, so sikujua ningeanza vipi kukutafuta! then nikageuza nimerudi kulala, unaondoka saa ngapi kesho?
 
asante bruh...nimechoka mpaka mkia...tan taraaaaa!
We acha uvivu....
Mi niliwahi umia hivyo kwa miezi kadhaa na kila baada ya siku 2 nasafiri kuhama mkoa....nilikoma...sasa wewe hapo tu?
Je km ungekuwa unatoka Mpanda unaenda Kigoma ingekuwaje?
 
Wasalimie sana mitaa ya kamunyonge, nyamatare, nyasho, mukendo, kitaji, makongoro, bus stop, nyakato, mwisenge, makoko jeshini, mwigobero, majita road, bisumwa, nyakanga, rwamulimi, nk. Sehemu za kurilax nenda Afrilax, Mativila hotel, Musoma hotel, Tembo beach, Peninsula hotel, Peninsula beach, nk.
 
We acha uvivu....
Mi niliwahi umia hivyo kwa miezi kadhaa na kila baada ya siku 2 nasafiri kuhama mkoa....nilikoma...sasa wewe hapo tu?
Je km ungekuwa unatoka Mpanda unaenda Kigoma ingekuwaje?

mpanda sina ham nako...nilishakwenda...hukumbuki nilikula kitmoto kwa buku 3 kilo moja!..
 
Back
Top Bottom