MUSOMA kesho...Mwita, Maranya nahisi huku ntawakuta,msiniangushe aisee!

Wasalimie sana mitaa ya kamunyonge, nyamatare, nyasho, mukendo, kitaji, makongoro, bus stop, nyakato, mwisenge, makoko jeshini, mwigobero, majita road, bisumwa, nyakanga, rwamulimi, nk. Sehemu za kurilax nenda Afrilax, Mativila hotel, Musoma hotel, Tembo beach, Peninsula hotel, Peninsula beach, nk.

aseee...hii msg ni muongozo mzuri kwangu...ngoja niikopi na kuipest kwenye notbuk yangu!..athante Skype!
 
kaka sorry, nimefika maeneo karibu na huko kwako, lakini sikutembea na laptop, so sikujua ningeanza vipi kukutafuta! then nikageuza nimerudi kulala, unaondoka saa ngapi kesho?

jombaa mm natambaa mida mida not long!...SS mm naeza sema umenipotezea!...kwi kwi kwiiiii!
 
tena huyo huyo Mwita Maranya ndo umtafute.....anapatikana huko huko hata mimi nilipokwenda....alinitembeza sana na alinikaribisha kwake nikala ugali wa udaga na kimolo....
Utakamatwa we mtoto hujui kama kimolo ni mali haramu?
 
aseee...hii msg ni muongozo mzuri kwangu...ngoja niikopi na kuipest kwenye notbuk yangu!..athante Skype!

Kuna mitaa mingine kama bweri(ilipo stendi ya mkoa), songe, baruti, kariakoo(jirani na songe), kibini, iringo, buhale, silver sand inn (kama beach flan), mtakuja, nk, ila usisahau na vijiji vya jirani na musoma mjini kama NYABANGE, MKIRINGO, MMAZAMI, MKILILA, nk. Matembezi mema mkuu, enjoy the stay.
 
mkuu labda nikukodi tu unipe makampani manini!..mana inaonekana uko fiti mbaaya na huu mji asee!
 
Mkuu siyo fiti kivile ila nilibahatika kusomea huko elimu ya sekondari kidato cha I-IV pale Mara secondary iliyopo kata ya nyamatare ndipo nikakariri majina ya baadhi ya mitaa but in case of need usisite kuuliza nami ntakujibu endapo ntakua najua. Vp ushaondoka stendi ya mabasi Buzuruga Mwanza kuelekea Musoma au bado una michakato mingi?
 
nipo geita bado...ndo nataraji kuondoka!...nina usafiri mwanangu...yani huku mm ni blank mbaya,sipajui kabsaa!...
 
Kama bado uko Geita na una usafiri wako nakushauri ukifika Sengerema pale kwenye round-about ongoza kuelekea kushoto barabara ielekeayo KAMANGA FERRY (ukiacha inayonyooka kuelekea BUSISI ferry). Nimekushauri kupitia Kamanga ferry kwa kua ni njia ya karibu zaidi ukilinganisha na ya busisi ambayo ni mzunguko.

Tanbihi:
kupitia kamanga njia ni ya vumbi ila unawah kufika, kwa upande mwingine kupitia busisi njia ni lami ila unachelewa kufika.
Uamz ni wako mkuu.
 
mkuu nimekupata uzuri...nimeamua kunyoosha..busisi ferry!...kama ulikua kichwani mwangu...was thinking of them two ways,kuna watu walikua wanashauri hapa!...so ntaingia musoma usiku sio?...asante sana aloo!..big up mine!
 
It takes 2 to 3 hours from Mwanza to Musoma. Kwa hiyo utakokotoa mwenyewe arrival time given the range. Mkuu samahani kwa ku-code mix japo ki-broken ila umenielewa. Nakutakia safari njema.
 
haya maswali ya distance,time,speed huwa yananishinda...ntaangalia tu jua@ Skype!
 
Fanya hivi:
1. Ulizia umbali uliopo kati ya mza na msm let's say utaambiwa "distance=dd km"
2. Amua mwenyewe kwa wastan mwendokasi utaokua unatembea nao let's say "speed=ss kph"
3. Tumia details za no.1 na no.2 hapo juu kukokotoa/kukadiria muda utakaotumia from mza to msm kwa kanuni hii:

time=distance/speed.

4. Jibu utakalolipata hapo no.3 litakuongoza kujua utafika sangapi msm kwa kuhesabu muda utaoanza safar mpaka kuisha masaa uliyoyapata hapo no.3.

Kama nimekutatiza sehemu usisite kuuliza, mkuu pamoja sana.
 
ebana umetisha...wewe ndo ungekua mwalm wangu wakati ule nasoma walahi ningependa lile somo!.
 
Back
Top Bottom