Musiba, Cyprian Afunguka kuhusu madhambi ya CCM

*Hapo hakuna kitu cha maana chochote alichoandika, ana hasira, kinyongo na wivu wa sintah.

*Kwa nini useme hayo mara baada ya kushindwa tu?

*Ni mwenyekiti wa chama ndiye aliyewapitisha hao watoa rushwa ili nyinyi muwapigie kura za kishindo!!
 
Musiba unakumbuka shuka wakati kumekucha?Umekwishachelewa maana hata hayo mapambano unayotaka yafanyike hayapo tena maana hakuna wa kuyafanya ndio maana wenzako wenye kuona mbali wametoka huko uliko na wapo sehemu ambayo mapambano yapo.

Huna tofauti na mke aliyeolewa ndani kila siku analalamika mumewe analala nje na kuweka mipango mingi ya kukomesha hali hiyo wakati tabia imekwishashika kasi.

mkuu huyu mwehu anataka kutoka na single ya nape ambayo ilikosa wadhamini,.anajifanya opprtunist wakati kichwani hazimo,hiyo single aliishikia bango nape miaka miwili iliyopita na imemshinda,.pathetically anadhani kwa kuropoka hivyo lowassa atamnotice na atapata bahati ya kujibiwa!!!!sijawahi kuona m.bwiga duniani kama huyu mshamba
 
Huyu bwana hata sikumoja sikuwahi kumsikia akilalamikia maovu yoyote yanayoendelea ndani ya hicho chama chake. Leo hii baada ya kushindwa ndio anajidai yuko upande wa wananchi eti analalamikia maovu. je angeshinda angelalamika? huyu ni aina ya vijana vilaza, wachumia tumbo wengi ambao sasa hivi wamevamia siasa kwa kuona short cut ya kufanikiwa baada ya kushindwa kutumia elimu zao.
eti kuwa mtangazaji wa mpira tu anataka CCM wampe kura anacheza nini, wenzao wanataka kula kabla ya kura! Haya sasa tafuta hizo million 300 na wewe uchaguliwe, walipokuwa wanasema tundu Lisu na Slaa mboa hakuwahi kusikika akiunga mkono , leo imekuwaje? Mpuuzi kabisa huyu tupa kuleeeee.....
 
Mwandishi wa habari Cyprian Musiba amefunguka na kulaani matumizi makubwa ya Rushwa na maovu mengine kipitia ukuta wake wa sura kitabu.

Cyprian Majura Musiba
drP8vlvSl_8.gif
TANURU LA FIKRA

Sambala Nakushukuru..

Inasikitisha kuona Vijana wa sasa tena wengi wao watoto wa maskini kama mimi wanatetea Maovu..wanatetea wezi wa Maliasili za Tanzania,,wanatetea Vibaka wasiolipa kodi,,Wanatetea Majambazi yasiyotumia Slaa wala Risasi,,CCM ni chama cha watu,,CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi,,Uongozi ni Maisha ya watu,,hatuwezi kuhama CCM kwa kuwaogopa baadhi ya wezi na majangiri waliojificha CCM ili watekeleze wizi wao,,tutaendelea kubaki CCM na tutaendelea kusema hata tukiwa nje ya Uongozi,,chama hiki ni chama cha wakulima na wafanyakazi,,hatuwezi kuogopa kusema namna chama kinavyotafunwa na majambazi waliojificha kwenye CCM eti tutaambiwa tumeshindwa,la asha tutasema kila wakati na ikiwezekana hata kuandamana tukiwa tumevaa sare za CCM kupinga Mafisadi waondolewe katika chama hiki kilichotukuka afrika,na duniani,,Vijana wazalendo tuliomo ndani ya CCM tunapaswa kuungana kuwapinga wezi,,kupingwa rushwa,,na wale wanaotumia chama kujinufaisha huku wakiwaacha wananchi wanatahabika..haya siyo lazima yasemwe na Mbowe ama Lisu ndio yaonekane ya maana,,CCM itajengwa na kusimamiwa na wanaccm wenyewe..lazima tuwe na utaratibu wa kumsaidia kiongozi wetu wa nchi na mwenyekiti wa chama kupambana na haya majambazi haya yaliyojificha kwenye chama ili yatekeleze wizi na ujanja ujanja wao..

Naomba kuuliza kama mwanachama wa ccm anagombea tu UNEC wa Wilaya ama mwenyekiti wa CCM mkoa ama wilaya ama UWT ama wazazi anatumia zaidi ya milioni 300 kwa nafasi ambayo haina mshahara wala malipo,,unategemea huyu jamaa anaweza kuwatetea watanzania wanateswa na mfumko wa bei? huyu zaidi ataenda kutetea dili zake na wajanja wenzake ambao wamemsaidia kwa michango kumweka katika nafasi ya uenyekiti wa CCM wa Mkoa ama wilaya..kwa nini wafanyabiashara wote sasa wanakimbilia kwenye uongozi CCM hata wale wachafu kabisa wasiokuwa na sifa,,

Kwa kutumia fedha zao wanajaribu kushawishi wanachama wa ccm watenganishe Uenyekiti na urais,,wanawaza kutumia Fedha zao kumpandikiza mtu eti agombee uenyekiti wa ccm taifa,,hawa watu ni hatari kwenye chama ni tishio kwa mustakabala wa chama..

Kazi kwako ukinipiga ngumi ya sikio mimi napiga ngumi pua..

KAMA HUYU NI MWANDISHI WA HABARI BASI TENA anajiita tanuru la afrika uharo mtupu hata unashindwa kuoanisha hoja zenye mashiko na ***** eti ccm ni chama kilichotukuka afrika na duniani kote labda ni chama cha ovyo duniani kutokana na hayo yote uliyoyaoorodhesha hapo hivi wewe kila sehemu ni kijana YANGA kijana, CCM kijana, kwenye utangajazi na wewe ni kijana? ebu punguza njaa acha kujikomba kwa rais hatakuteua waandishi wanaoteuliwa kuwa DC ni wa ITV, TBC1 wewe boresha taaluma yako acha mambo yako mliofanya na mzee akilimali kuivuruga yanga sasa umeona njaa huko unakimbilia kwa kikwete asaidiwe tangu lini akatangaza kuwa jamni nisaidieni chama kimenishinda sasa unamtukana mwenyekiti na ccm yenyewe una akili kama za wabunge wa ccm wakati wakichangia bajeti bungeni analalama kisha anaunga mkono hoja 100%
 
Msiba ni mganga njaa,alipoona juma mkamia na ester bulaya wameula naye ameingia kwenye siasa! Aludi channel 10 au apake rangi na kibwana Dachi kwenye kipindi cha Morning Magic!
 
Kama hayo anayo yasema Musiba ndio anayo yaamini toka katika sakafu ya moyo wake basi nitakua mtu wa kwanza kuwadharau waandishi wa Channel 10, I am very sorry, sitani hapa, hivi kwa mwandishi wa habari kama Musiba kwa muda aliokwisha kaa News rooms bado alikua hajui kua ccm ipo hivyo, wengine hatujawahi kugombea nafasi yeyote huko magamba na hatuna mpango wa kufanya hivyo kwenye hicho chama cha mabwepande, lakini yote alioandika mbona tunaya jua tokea siku nyingi tu! Hivi pale CH 10 muda mwingine hua hamuongelei haya? Hata jamaa zako pale Kisutu nao hawakukushauri juu ya hatari hiyo kweli? vinginevyo unambie ulienda kujaribu hali ukijua nini kitakacho tokea!
 
Tunashukru madamu umepiga hata kelele baada ya kushindwa na kusema unayoyajua miaka mingi lakini ukawa kichwa maji kama dafu la nazi pale mihogo beach.Tutakuelewa kama una lolote la kufanya tofauti na kelele hizi
  • kama utashiriki kuhamasisha wote wasiotaka na kuenzi rushwa kufanaya mabadiliko?
  • na wewe lini rasimi utaondoka huko site ya rushwa?
 
Ndio wanasiasa wetu uchwara hawa, mabingwa wa kulalamika wakati hawajaripoti tatizo katika mamlaka zinazohusika. kama hajasema kabla ya uchaguzi pia kama hajaripoti suala hilo polisi sie tunachukulia kama uzushi.
 
pole bro mlaani alieileta post yako jf maaanake huku kuna wanazuoni wengi wao wanakupa ukweli

hivi unauhakika hata huyo kj wako hawajuwi majambazi unaowajua wewe anajua uzuri zaidi yako ww pole kwa kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Back
Top Bottom