f de solver
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,339
- 1,834
Toa sababu sio kusema unaunga tu mkonoNaunga mkonyo hoja
Toa sababu sio kusema unaunga tu mkonoNaunga mkonyo hoja
Sasa mkuu ulikutana na mtu mmoja hajui oscilloscope ndo unajumuisha chuo kizma sababu za hovyo kabsaHii ni kweli kabisa hasa CoET mi jitu hata oscilloscope hajui
Rockwell Automotion Company
Basi Coet mnashda aiseee...kwann mnaenda kusoma engineering Kwa sifa.... Jamani wakat kila tenda Naona wamepewa wachina...ushaur bora msome fakat zngne tuuuu kama education etc...Unakuta mtu CoET ana A zote lkn ukimchallange tu hamna kitu wale ni political engineers ingawa nami nipo pale. Formal education ya udsm inaua engineering curiousity yangu aseeh
Rockwell Automotion Company
Ww umenene vizuri sanaaMmmh nijuavyo mimi chuo chochote hakikosi mtu anayetoka shallow. Wapo wanaokua na GPA kubwa lakini implementation sifuri. So regardless umesoma chuo gani juhudi zako binafsi ndio maisha yako.
Mrs Van
Chuo kipi ni kizuriDiploma in Teaching.
Cheap labourersMimi nimesoma UDSM Nina mpango Wa kufungua kampuni yangu Ila nitaajiri vijana Wa DIT au TIA
Post sent using JamiiForums mobile app
Chuo huwa wana angalia umepata pointi ngapi za TCU na sio division na point ngapi za NECTA. Hivyo ukitaka ushauri mzuri weka combi uliofanya na kila somo umepata grade gani (A, B, ...F). Ukifanya hivyo utapata ushauri mzuri zaidi.Natanguliza shukurani nyingi,
Nimefanikiwa kupata division 2 ya point 11 ya masomo ya sanaa ninaomba ushauri kwenu wakuu kama ninaweza kusoma kozi ya INFORMATION TECHNOLOGY na ni chuo gani kizuri kwa hiyo course
Lakini pia nina ndoto ya kusoma law pale udsm sijui kwa ufaulu huo kama naweza kupokelewa?
Nawakilisha
So hapo atumie Olevel certificate c ndiyo?!mmmh hapo msala huo! labda asubiri aombe diploma mwakani!
Sema hizi comb za science wengi huwa hawashtuki mapema ila wale wajanja akiona mpaka anaingia six Hakuna matumaini ya kufanya fresh anatoa alert home waendelee kumuombe diploma kutumia cheti cha form four!
Naada ya paper mambo yakitoka vizuri analiunga bachelor, yakiharibika anaunga diploma
Aseee sijamuuliza chochoteYeye anapenda kufanya kazi gani hasa, tuanzie hapo
Mbona BAM hatuioni hapo?Kama ilivyo hapo juu naomba mnishauri hapa kama nitapata chuo cha kusoma MD au PHARM
matokeo haya hapa
Phy C
Chm C
Bios D
Ahsanteni
Post sent using JamiiForums mobile app
Cut off points 8Mwisho kuchukuliwa kwa mtu MD ni point ngap mzee?
Kwa apo anapataVipi uwanja wa ajira kwa hiyo course ya Environmental health,mdogo wangu ana Divsion 2,ya point 10,yaani CCD...vipi hapo!
Post sent using JamiiForums mobile app
Ungeandika alama ya somo moja mojavp kwa mtu mwenye div 2 anaweza kupapa moja kat ya hiz koz?
Haematology and Blood Transfusion
Parasitology and Medical Entomology
Clinical Chemistry
Histotechnology