umeonaeeeeee................ kuna wanaoingia chuoni kwa ponti kuubwaaa ila wanagraduate kwa GPA 2.0Asikudanganye mtu, chuo ni wewe mwenyewe na jitihada zako.
Am proud to be a UDSM alumnus
Post sent using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu. Na mimi ni shahidi kwa hilo aiseeumeonaeeeeee................ kuna wanaoingia chuoni kwa ponti kuubwaaa ila wanagraduate kwa GPA 2.0
ila walioingia kwa point za manati wanakomaaaa hatari na kuchomoka na GPA nzuuriii
pharmacy sidhani kwa E ya phyUkilinganisha ufaulu wa mwaka huu anaeza pata chuo kwa coz ya phamarcy bachelor
Phy E
ChemD
Bio D
Bam D
Gs F
Ngoja tuwasubiri wajeKuhusu mikopo subiri wahusika waingie wapo mapumziko kidogo
Post sent using JamiiForums mobile app
Itakua unasoma textile Engineering bila shakaUnakuta mtu CoET ana A zote lkn ukimchallange tu hamna kitu wale ni political engineers ingawa nami nipo pale. Formal education ya udsm inaua engineering curiousity yangu aseeh
Rockwell Automotion Company
Tunaongelea implementations. Sio kumeza notes. Mimi sio Mr btwprove mr VAN
practicle??? kama kilaza {shallow} semister hautoboi
Mkuu popote ulipo agiza faru john ntalipa.umefoka kuntu sana.Kizazi hiki sijui kikoje, kuna threads kibao zimeanzishwa kila moja ikikinanga chuo flan kuwa sio kizuri, hiki kizazi legelege, kizazi cha madesa ya Nyambali, kizazi cha kusolve maswali na kukariri majibu, kizazi cha kusolve past papers bila kuelewa content kazi yao ni kulalamika kila siku, mnataka mkasome vyuo gani? Au mmesoma vyuo vingapi mpaka mnacompare? Kazi kulalamika tu kwenye mitandao na mngesoma enzi zile bila simu wala internet mngelalamika wapi? Mnachagua na kuponda vyuo utafikiri mlivijenga!! Nafikiri ipendekezwe umri wa kuanza shule uongezwe ili watu wafike chuoni wakiwa na utambuzi, vijana wa vyuo wako kama wa sekondari hata kuvaa hawajui kazi kulalamika tu kwenye mitandao, kaza msuli piga kazi tatua matatizo yanayowakabili kiutuuzima
ok sawa mkuuNenda kasome ujiajiri usiwe na mawazo ya kuajiriwa ndiyo maana umepata F General Study...
Sasa chuo kizuri ni kipi hapa Tanzania? Maana kila chuo wanaambiwa wasijaribu kabisa kwenda?HAKUNA KIZEURI KISICHO KUWA NA MAPUNGUFU..... KWA YEYOTE ANAEJIELEWA LAZIMA APOKEE MAWAZO MBALIMBALI JUU YA CHANGAMOTO ZILIZOPO ILI KUFANYA HUDUMA IWE BORA KADIRI YA MAHITAJI NA USHINDANI.
PILI
KILA ENZI/WAKATI INAKUWA NA UTOFAUTI KWA UZURI NA UBAYA WAKE NA HATA NAMNA YA APPROACH INAKUWA CONDUSIVE KULINGANA NA WAKATI NA MAHITAJI YA WAKATI HUSIKA.
Nimeagiza jibapa mkuu, fanya kunitumia maana huyu dada mhudumu karibia ataleta 'bili' yanguMkuu popote ulipo agiza faru john ntalipa.umefoka kuntu sana.
Kwel kabsa mkuu Naona jamaa anatoa povuItakuwa umesoma chuo cha kata sio bure.
Post sent using JamiiForums mobile app