Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

Kozi ya bachelor of science in environmental science and management pale ardhi inahusika na nini na jee ni rahisi kupata kazi.. ?? Msaada wako ndio hekima yangu kuchagua kozi
 
ndugu zangu mimi nmemalza fm6 mwaka 2015 nna econ b,geog b, adv math c,naweza pata agricultural economics and agribusness ya sua au architecture ya udsm ama ardh?...ushaur wenu ndo msaada kwangu wakuu

Kwa matokeo hayo SUA kwa hiyo program una sifa za kuapply ila utashindwa ushindani.
 
Madogo kasomeni ili mje mjiajiri hata usome coz gani ajira ni ngumu labla udaktari na kiualimu unless uwe mtoto wa kigogo serikarini la si hivyo madogo lazima muisome number huku kitaa,ni tahadhari tu msijenge chuki
 
habari wana jf
naomba kujuzwa kwa yoyote anayejua gharama za masomo ngazi ya cheti chuo cha bandari temeke',,na pia ningependa kujua je kuna chuo cha mafunzo ya uongozi wa magari(traffic)kiko wapi??
 
bora utinge zako jeshini ukajiendeleze mkuu wachana na hiyo traffic utayeyushwa na jua 2 bure hebu jaribu kufikiria tena mkuu...kuna coz nying nzur au 2 toa alama za ufaulu wako upewe ushauri mkuu... ...Thankx...
 
Tatizo,katika mchakato wa kuapply cas nimekuta tofauti ya majina yangu ya A-level na O-level ambayo ni nukta katika jina la kati.nimeshindwa kuendelea hadi sasa,nianze wapi wakuu,form six leaver.
 
Kwa anayekifahamu chuo cha Mwalimu nyerere memorial academy (zanzibar campus) anijuze ubora nataka nikasomee

Bachelor's degree of human resource and management(BD HRM)
 
naombeni jibu wadau ,,nimepiga simu NACTE lakn hakuna nilichoambulia ,,nahsi wanaopokea simu wako Shallow kichz.
 
Habari wadau? Nina mdogo wangu ameniomba nimchagulie kozi mojawapo ambayo anaweza kuwa mwalimu. Yeye alisoma PCM kidato cha sita. Naomba mwenye ufahamu anisaidie kozi gani anaweza kuchagua kwa masomo ya physics na mathemtics..
 
Back
Top Bottom