Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

Malengo yango ndo maisha yako ya baadae xo me siwez kukushaur chochote coz cjui wewe unapenda nn ila kama unapenda kuwa mtumwa wa wengine piga advance mkuu ila kama unataka kujiajiri mwenyewe nenda chuo ili utengeneze njia mapeema yan..
 
Nimesha went now let me help u ni iv ordinary diploma ni NTA 5 hii hupatikaka kwa wale wa form 4 wenye alama nzur ila advanced diploma ni NTA 6 hupatikana kwa wale wa form 6 walio kosa vigezo vya kuxoma degree ambayo ndo wanaita NTA 7 nafikiri umenixoma mkuu..
 
ndugu zangu mimi nmemalza fm6 mwaka 2015 nna econ b,geog b, adv math c,naweza pata agricultural economics and agribusness ya sua au architecture ya udsm ama ardh?...ushaur wenu ndo msaada kwangu wakuu
 
Wewe unapenda ipi hasa, kwa ushauri wangu soma special needs uwasaidie ndugu zetu wenye mahotaji maalum kama viziwi,vipofu,wenye matatizo ya akili na wengine wenye ulemavu wowote wanaohitaji uangalizi maalum kwenye elimu.
 
geomatics,land management and valuation,environmental engineering, na building economics..zilizobaki ajira ni ngumu kidogo
 
Back
Top Bottom