Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

SHIDA UNASIKIA VIJEWENI. . Hebu nukuu hapa SIFA ZA KWENDA CHUO KWA KOZI YOYOTE KUTOKA TCU GUIDE BOOK UWEKE HAPA. . .

Wote wamedanganyana. Kwa sasa 2014 todate ni 2 point ambazo ni D mbili na zaman ni 2 points ambazo ni E mbili kuanzia 2013 kurud nyuma.
 
KUNA WATU WANADANGANYANA HUMU, HASA MA BRN. . . Mtu ana DDE YA MWAKA 2014 AU 2015 ANATAKA AWE SAWA NA MTU WA DDE WA 2013 KURUDI NYUMA . .acheni kudanganyana mtapotea . .TCU GUIDEBOOK IPO WAZI KWA SYSTEM YA ZAMANI NA SASA. . 2013 kurudi nyuma MINIMUM POINT NI 2 , NA KWA HAWA BRN(2014 NA KUENDELEA) MINIMUM POINT NI 4. . . Sasa BRN ANA DDE Ina maana ana POINT 2.5 anajifanya chizi ANAOMBA CHUO . . Hivi Ukitemwa utamlaumu Nani? DDE kwa Wale tuliomaliza 2013 Tulienda Hadi UDSM KWANZA ILIKUWA SHUGULI KUIPATA, . . . .

Nb:KASOME VIGEZO NA POINT ZA KWENDA CHUO, JITAMBUE WEWE NI FORM SIX WA MWAKA GANI. . . .inashangaza BRN hata TCU GUIDEBOOK HAWAJUI KUISOMA . . Nimeshuhudia kwa macho yangu HAWAIELEWI.

Kama uko sec year basi nna mashaka na uelewa wako.. Min admission points tcu ni 2pts I. e EE kabla ya 2014 ambayo ni sawa na DD baada ya 2013....... Huyo mtu ana qualify kuomba chuo kwa vile vigezo anavyo according to tcu......... Sasa suala la kupata ama kukosa inategemea na competition iliyopo kati yake na wenzake walioomba the same course........ Kama na hapa hutaelewa basi sitokuwa na njia nyngine ya kukuelewesha zaid.
 
Eti D MBILI ANAENDA CHUO, HUYO NI 2013 KURUDI NYUMA. . Kwasasa hujui mwenye D MBILI ni FAIL? Hata G.P.A 1 HAFIKI
Huyu Aroon anakauli mbaya halafu hajasoma hana information za kutosha, nimejaribu kuona majibu yake humu ndani, kazi kubwa anayoifanya ni kukatisha watu tamaa kwa kutoa taarifa na ushauri wa uongo. kw mfano kwny guide book imeelezwa wazi sifa moja wapo itakayomwezeshwa mwanafunzi kufanya application kwa form 6 waliomaliza 2014 na kuendelea ni kuwa na ufaulu wa grade D kwa masomo angalu mawili katika combination.
Mdogo angu AROON sio lazima upost, hapa sio FB au INSTA.
 
Last edited by a moderator:

Bora umwambie dah,anatia aibu sana sijui kala maharage ya wap huyu???
 
Last edited by a moderator:
Eti D MBILI ANAENDA CHUO, HUYO NI 2013 KURUDI NYUMA. . Kwasasa hujui mwenye D MBILI ni FAIL? Hata G.P.A 1 HAFIKI

We vp??matokeo yake wameandika pass we ni nan mpaka useme fail??? Acha kuropoka ropoka ww mtoto wa kiume bana. Nina mashaka na ufaulu wako darasan
 
KUNA WATU WANADANGANYANA HUMU, HASA MA BRN. . . Mtu ana DDE YA MWAKA 2014 AU 2015 ANATAKA AWE SAWA NA MTU WA DDE WA 2013 KURUDI NYUMA . .acheni kudanganyana mtapotea . .TCU GUIDEBOOK IPO WAZI KWA SYSTEM YA ZAMANI NA SASA. . 2013 kurudi nyuma MINIMUM POINT NI 2 , NA KWA HAWA BRN(2014 NA KUENDELEA) MINIMUM POINT NI 4. . . Sasa BRN ANA DDE Ina maana ana POINT 2.5 anajifanya chizi ANAOMBA CHUO . . Hivi Ukitemwa utamlaumu Nani? DDE kwa Wale tuliomaliza 2013 Tulienda Hadi UDSM KWANZA ILIKUWA SHUGULI KUIPATA, . . . .

Nb:KASOME VIGEZO NA POINT ZA KWENDA CHUO, JITAMBUE WEWE NI FORM SIX WA MWAKA GANI. . . .inashangaza BRN hata TCU GUIDEBOOK HAWAJUI KUISOMA . . Nimeshuhudia kwa macho yangu HAWAIELEWI.

*****
Umetoa maelezo mengi LAKINI umeongopa. Soma GUIDE BOOK ya TCU. Ukurasa wa 9 kipengele cha 7(a)(b). Point ni 2.O tu.
 
Kama uko sec year basi nna mashaka na uelewa wako.. Min admission points tcu ni 2pts I. e EE kabla ya 2014 ambayo ni sawa na DD baada ya 2013....... Huyo mtu ana qualify kuomba chuo kwa vile vigezo anavyo according to tcu......... Sasa suala la kupata ama kukosa inategemea na competition iliyopo kati yake na wenzake walioomba the same course........ Kama na hapa hutaelewa basi sitokuwa na njia nyngine ya kukuelewesha zaid.

NDIO UHALISIA, Tatizo watu ni wabishi na hawaelewi.
 
Kwa maelezo ya wadau hapo juu AROON hatorudi tena humu kupinga ila ingekuwa busara kama angeomba radhi kwa wale aliowapotosha
 
Huyu Aroon anakauli mbaya halafu hajasoma hana information za kutosha, nimejaribu kuona majibu yake humu ndani, kazi kubwa anayoifanya ni kukatisha watu tamaa kwa kutoa taarifa na ushauri wa uongo. kw mfano kwny guide book imeelezwa wazi sifa moja wapo itakayomwezeshwa mwanafunzi kufanya application kwa form 6 waliomaliza 2014 na kuendelea ni kuwa na ufaulu wa grade D kwa masomo angalu mawili katika combination.
Mdogo angu AROON sio lazima upost, hapa sio FB au INSTA.

AROON. Anapotosha umma kwa kutoelewa anachokisema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom