Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

wakuu msaada tafadhari
gs B
histry B
kisw B
geo B

Kama nyumban mnajiweza kifedha. Angalia LAW ila hupati mkopo. Ni non Priority. NAKUSHAURI KWA MOYO MKUNJUFU kama unategemea mkopo jaza ARTS WITH EDUCATION. MKWAWA, DUCE, MZUMBE(Educatn in Language and Management), SAUT, UDOM, RUCO, IRINGA, MWENGE. Ila kama haupo vizuri kiuchumi usjaze Bagamoyo adayake hata wakikupa mkopo hutaweza. AHSANTE.
 
Mdogo wangu amepata pcb BBB+ kwa matokeo ya mwaka huu atapata MD.

NAMPA HONGERA SANA. Medicine anapata ila Muhimbil competitn itakuwa kubwa mwaka huu kwa matokeo hayo.. Japo aombe. KCMC, Herbert Kairuki, Catholic Health Alied ile ya IFAKARA,
 
wakuu kutokana na ushauri wenu jamaa kaweka hivi....

1. Civil engineering (ardhi university)
2. Civil engineerin (udsm)
3. Geomatics (ardhi)
4. Irrigation engineering (sua)
5. Electrical engineering (udsm)

naombeni mumshauri nini aweke na nini atoe kulingana na competition na matokeo yake
ndugu lordville tzhumoally karibuni kwa ushauri

ahsanteni.

kwa maksi hizo mwambie apangue kabisa la sivyo atasugua bench mwaka mzima
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujua kama kwa performance hii, mtu huyu atakua amefikia sifa za kuomba chuo. Nachofaham ni kuwa ili uombe chuo unapaswa kuwa na angalau D mbili katika masomo ya Combi yako.

M 0.7 PASS G/STUDIES - 'D' CHEMISTRY - 'E' BIOLOGY - 'D' AGRICULTURE - 'D' BAM - 'F'
Mkuu habari,
Kwa hizo poits unaweza kuomba Bsc Education ukamajor kwenye bilogy na Agriculture. unaweza pia kusoma kozi za SUA ambazo zinataka requirement ya Agriculture ambayo una D=2, na Biology ambayo una D=2 jumla point 4 ukiongeza na hiyo E ya Chemia una = 4.5points. jumlisha na GS au BAM unapata 5 unaweza pata ila kama ushindani ukiwa mkubwa sana utakosa. nakushauri uombe BSC Education ambayo ni priority na utapata Mkopo pia
 
Naomba nijue tofauti kati ya bachelor of bussiness administration in finance na bba in marketing vilevile ninaomba kuelekezwa ni bussines administration ipi yenye course ya e-commerce?

***
BBA MARKETING. inahusu masoko. BBA FINANCE inahusu fedha.
e-commerce ni topic kwa wanaosoma LAW hasa COMPUTER LAW au ICT LAW..Ila kwa wanaosoma ICT in Busness kwa Mzumbe wanaisoma.
 
acha utani wewe unatutania wewe dogo amefanya vizuri huyo tena science ajaze chuo haraka sana na mkopo 100% sifa za kusoma degree kwa sheria za TCU mtu anatakiwa kuwa na point 2 yaani sawa na D mbili kwa sababu A =5 , B+=4, B=3,C=2, D=1, E=0.5, F=0

ACHA KUMDANGANYA MWENZAKO CUT OFF POINT YA 2 SIO KWA HAWA WA SASA, NI MWISHO 2013, HAWA WA 2014 HADI NA 15 NI 4, SASA JIULIZE HUYO ANA POINT NGAPI NA KAMALIZA MWAKA GANI? Muwe mnasoma vizuri msiwapoteze watu
 
Habari wakuu? Msaada tafadhali kwa mtu anayefahamu faculty hizo hapo juu.naomba ushauri wenu ipi ni nzuri ukisoma kuanzia msuli wake chuoni na soko la ajira pia(nimemaliza kidato cha sita mwaka huu comb.CBG).asante nahitaji mchango wenu

**
FACULTY ni KITIVO. Mfano Faculty of Social science, Law, Busnes n.k. Ila tumia COURSE.
sasa weka hzo course zako tukusaidie. Weka na matokeo yako ili tukusaidie kulingana na competitn tunayoiona.
 
Ana sifa za kujiunga na chuo kwa vile ana pts 2.5 ila asijaze course nyngine zaid ya education otherwise atakwenda na maji

2.5 ZA FORM SIX WA MWAKA GANI? Au unakurupuka tu KWA HAWA BRN minimum point ni 4 , wale tuliomaliza enzi ELIMU HAIJACHAKACHULIWA NI 2.
 
kwa aliyepata ADV/MATH-D ECONOMICS-C GEOGRAPH-B Course gani anaweza kusomea

**
Kama anataka mkopo ajaze Education. Japo kwa EGM kuna course mbili pale ARDHi Zina mkopo ila pia SUA kuna koz ya AGRIBUSNESS anapata mkopo ila atashndwa competitn ufaulu wake hafifu. coz zingne zote hapat mkopo.
 
2.5 ZA FORM SIX WA MWAKA GANI? Au unakurupuka tu KWA HAWA BRN minimum point ni 4 , wale tuliomaliza enzi ELIMU HAIJACHAKACHULIWA NI 2.

Acha kukurupuka mkuu,umesoma Tcu guidebook??? Wanachukua kuanzia 2.5 hata mwaka huu tofauti ni kwamba wanachukua kuanzia D 2 ambazo kwa ranks za nyuma ilikuwa D=2
 
Naomba kujua kama kwa performance hii, mtu huyu atakua amefikia sifa za kuomba chuo. Nachofaham ni kuwa ili uombe chuo unapaswa kuwa na angalau D mbili katika masomo ya Combi yako.

M 0.7 PASS G/STUDIES - 'D' CHEMISTRY - 'E' BIOLOGY - 'D' AGRICULTURE - 'D' BAM - 'F'

HUYO HAWEZ KUPATA NI FAILURE , Mwenye POINT 2 ANAYEKWENDA CHUO NI form 6 mwisho wa 2013, Hawa BRN MINIMUM POINT NI 4, sasa HUYO AMESHINDWA HATA HIYO 4, Asaidiwaje sasa? G.P.A 0.7 Aende chuo kufanya nini? HEBU ACHENI KUDANGANYANA, KASOMENI TCU guidebook KWA MAKINI . . Msikurupuke. . ELIMU HAIJAWA RAISI KIASI HICHO
 
HABARINI JAMANI.
Ni vyema mnapoweka matokeo ya mwanafunz muwe mnaweka na Alternative (plan A) ya mnachofkria ili mpate Alternative au Plan B. Kwasababu kila mtu ana kipaumbele chake au matarajio ya nini anakitaka. ili watu wamshauri kulingana na yeye anavyotaka, kulingana na matokeo yalivyo na pia kulingana na competition iliyopo.
 
Acha kukurupuka mkuu,umesoma Tcu guidebook??? Wanachukua kuanzia 2.5 hata mwaka huu tofauti ni kwamba wanachukua kuanzia D 2 ambazo kwa ranks za nyuma ilikuwa D=2

SHIDA UNASIKIA VIJEWENI. . Hebu nukuu hapa SIFA ZA KWENDA CHUO KWA KOZI YOYOTE KUTOKA TCU GUIDE BOOK UWEKE HAPA. . .
 
Wakuu nami naomba msaada kwa ajili ya dogo anataka kusoma pharmacy Bungando, Muhimbili au KCMC je kwa ufaulu huu atapenya?

BIO - C
CHEM - B
PHY - E
G/STUDIES - D
B.A.M - D
 
Acha kukurupuka mkuu,umesoma Tcu guidebook??? Wanachukua kuanzia 2.5 hata mwaka huu tofauti ni kwamba wanachukua kuanzia D 2 ambazo kwa ranks za nyuma ilikuwa D=2

Eti D MBILI ANAENDA CHUO, HUYO NI 2013 KURUDI NYUMA. . Kwasasa hujui mwenye D MBILI ni FAIL? Hata G.P.A 1 HAFIKI
 
Back
Top Bottom