Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,610
- 8,736
Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa.
Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo.
Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo.
Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo.
Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko au kuachwa ushuzi ukiangaliwa bila majibu.
Kwa maisha ya sasa pesa ndio inakupa uthamani na nuru maana dunia ya leo watu wanaangalia pesa