Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

Haya yate ni deflection... I am sure behind all issuez ni 'swala la muungano'... Ngoja tuone mwisho wake...
 
Inawezekana kabisa wanayachoma wenyewe ili kuzidisha chuki baina ya waislam na Serikali yenu na vile wapate fidia kutokana na uchomaji huo.

janja ya nyani ...

Mkuu Barubaru mbona makanisa haya yanajengwa na wauumini bila ya kusubiri misaada kutoka nje, sasa hili la kusema wana hamu ya kupata FIDIA unatoka wapi! Tangu lini wakristo wakawa chanzo cha ku-incite vurugu deliberately - hua naeshimu sana maoni yako lakini naona leo labda ilipata slip-up ya ulimi.
 
[FONT=century
gothic]Inawezekana kabisa wanayachoma wenyewe ili kuzidisha chuki baina
ya waislam na Serikali yenu na vile wapate fidia kutokana na uchomaji
huo.

janja ya nyani ...[/FONT]

huu ushauli ata "MADENGE" aliwahi hutoa kwa iyo hatukushangai.
 
Hakuna mkristo mwenye roho ya kimaskini kiasi cha kutenda hivyo!...Fahamu hilo.

Yote yanawezekana wale Wakiristo walikuwa wanachinjana makanisani Rwanda au Congo walikuwa na roho ya kitajiri.
 
Kama ni kweli basi kuna jambo kama sio kuwa mnayachoma wenyewe ili kudhoofisha serikali ya Kikwete ionekane dhaifu au kupeleka mnayoyataka imekula kwenu Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua. Haiwezekani watu wachome makanisa mbagala then ikisha wakachome Kigoma halafu sasa Yombo. I smell something fishing is going on. Time will tell. Ikiwa kama kweli ndugu zetu mna lengo hilo basi mnachochea moto mkubwa time will.
Nani aliyewaloga nyinyi watu?
 
haya ndo mambo serikali yetu iliyafumbia macho ikitegemea inapata mtaji wa kisiasa kwa waislam wlio wengi leo , ona sasa mmomonyoko mkubwa wa mshikamano wa kidini unaonekana wazi, amani na utulivu kupotea kupitia masuala ya kidini.mungu atupe subira nchi ipate kiongozi atakayjali kurudisha tunu ya mshikamano na amani wetu, si kutamka nadharia ya mani, bali amani na utulivu wa kweli.
 
Kuna kitu kinaendelea sio bure mbona zamani tulikuwa tunaishi vizuri tu baina ya Wakiristo na Waislam na Makanisa na Misikiti yote tunayo mitaani na haichomwi si bure.
 
Wamekalia kunywa kahawa tu,hawana jingine jipya zaidi y kulia wanaonewa wakati kusoma hawataki
 
Tumefundishwa kuvumilia katika hali zote.Mungu atalipiza kisasi kwa hao wote wenye mikono iliyojaa maovu.
 
laiti kama wakristo ndio wangechoma misikiti hata miwili tu ungeona namna waislamu mambo ambayo wangefanya.
kwa kweli wakristo ni wavumilivu sana. ila ipo siku huu uvumilivu utakwisha. itakapofika hapo ndio utajua nini maana ya udini.
 
Jana usiku kulikuwa na Ujumbe kwenye Whatsapp unasambaa kuwa kuna boti tatu zikiwa na Wana Uhamsho zilikuwa njiani kutoka Zanzibar kwenda Bara kuchoma Makanisa. Ujumbe ulikuwa unawataadhalisha wakristo kuwa makini. Sasa inawezekana hii ilikuwa kweli. Mungu Tubariki.
 
Jamani jamani nani yupo nyuma ya haya matukio? maana sasa its so serious kusema kuwa its a mere coincidence kwani hapo kabla hawakuwepo waislamu na wakristo Tanzania? tunanapoelekea sipo serikali na wananchi kwa ujumla tujiulize wapi tulipokosea na tuchukue hatua maana tusipoziba ufa tutajenga ukuta, nchi nyingi zenye machafuko zilianzia kwenye chokochoko za aina hii na mwishowe kukawa na full blown war, Mwenyezi Mungu tunusuru, Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
 
Hawa waislam jamii ya kina shekh Ponda umaskin na njaa ya ufinyu wa mawazo katika kufanya maendeleo inawasumbua,.msikitin mnachangisha shs ishirin,shs tano ayo maendeleo mtapata wapi,misikiti ya wa2 binafsi sadaka zao mtaendelea wapi.,nyie chomen makanisa wenzenu wanayajenga tena kwa muda mfupi uku mkiendelea kulia usawa.,acheni utapel vi2 sio vyenu mnavitaka...
 
laiti kama wakristo ndio wangechoma misikiti hata miwili tu ungeona namna waislamu mambo ambayo wangefanya.
kwa kweli wakristo ni wavumilivu sana. ila ipo siku huu uvumilivu utakwisha. itakapofika hapo ndio utajua nini maana ya udini.

Soma historia ujue Uislamu ulienea vipi na Ukristu ulienea vipi. Hapo utaona tofauti kati ya Waislamu na Wakristo
 
hawa jui popote pale palipo na kusanyiko lazima kuna uwepo wa Mungu,tutajumuika na kumuabudu Mungu hata katika kituo cha daladala hata chini ya Mti ikiwezekana..Twayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu,baba wasamehe hawajui watendalo..
 
Urafiki wa Mkristu na Muislamu mwenye eti msimamo mkali huwa ni wa mashaka siku zote.
 
Back
Top Bottom