Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

Watz tumechagua maisha haya?ni kweli ubaguzi umefikia hatua ya kuchomeana makanisa?msingi wa haya ni nini?nani ananufaika na hili?serikali itimize wajibu wake wa kulinda wananchi wake na nadhani wanaofanya upuuzi huu siamini kama wanatumwa na uislam bali ni chuki binafsi na uwezo mdogo wa tafakuri ya mambo,duniani dini hueneza amani na upendo,kwani mtu afikirie kuchoma nyumba ya ibada ya mtu mwingine,kama wanahitilafiana kwanini wasipekane mahakamani,nchi inaongozwa kwa sheria,kanuni,taratibu na maadili,si kila mtu linalomjia kichwani basi afanye,hawa wanaohusika na uhuni huu wakamatwe na washitakiwe kwa mujibu wa sheria kali zichukuliwe si kwa kutizama dini zao bali kwa kukiuka sheria,hatuwezi kuongozwa kwa hisia hata kidogo!
 
May their soul rest in peace .amen Nafikiri waislam hawamjui adui yao kabisa .


waislam hawamjui adui yao kabisa itawapa tabu kupata ukweli wa shida na tabu yao. Hapo hata wakimaliza kuchoma makanisa na vita hawatapata jibu.
 
hivi huu muda wanaotumia kuchoma makanisa si ni vema wakaingia darasa la QT waongeze maarifa
 
Hawa jamaa sijui hawajayapa majini yao chakula na sasa kwa njaa yaliyonayo yanawapelekesha kuchoma makanisa. Na kwa ujinga wao wanadhani ni jambo jema kumbe majini ambayo wanafuga yana uadui na Bwana wetu wakristo yaani Yesu Kristo mwenye haki. Waislamu msiendeshwe vibaya na hayo majini mnayofuga maana yenyewe yanawatumia yakidhani kuchoma moto makanisa ni kimkomoa Yesu Kristo kumbe wala ndo Yesu anazidi kupeta kwa sana.
 
Hawa waislam jamii ya kina shekh Ponda umaskin na njaa ya ufinyu wa mawazo katika kufanya maendeleo inawasumbua,.msikitin mnachangisha shs ishiri,shs tano ayo maendeleo mtapata wapi,misikiti ya wa2 binafsi sadaka zao mtaendelea wapi.,nyie chomen makanisa wenzenu wanayajenga tena kwa muda mfupi uku mkiendelea usawa.,acheni utapel vi2 sio vyenu mnavitaka...
ndungu yangu angali pote alipo pita mwarabu niambie kaacha nini.....kama sio umaskini wakutupa,chuki na uadui,uvivu,usodoma na gomora..vijana wa maeneo alipopita mwarabu wote wanasubiria utajiri vibarazani hwataki kazi
 
Dini ya Kiislam aina mafundisho ya kuchoma makanisa na sehemu za kuabudu za dini zingine huu ni mpango maalum unafanywa na watu maalum kuleta machafuko nchini.
jiulizeni nyie na dini yenu, maana christians are too civilised to act like hooligans!
 
Hali na mustakabali wa nchi ni mbaya ingawa wahusika hawataki kukiri, wala kuchukua hatua stahiki. Ee Mungu tuepushe na hili janga.
 
Yote yanawezekana wale Wakiristo walikuwa wanachinjana makanisani Rwanda au Congo walikuwa na roho ya kitajiri.
Rwanda ni Rwanda, Congo ni Congo, na TANZANIA NI TANZANIA...Hatuna ubia na watu hao, japo nao wana Wakristo!
Asili ya nchi (context for this case)iko bound kuaffect hata imani za watu na wanavyoichukulia dini hadi wanavyoishi mtaani.
So istand by my post, Wakristo wa Watanzania hawana roho ya aina hiyo.
 
Kuna kiongozi mmoja mkuu kabisa wa chama cha Siasa huko Tanzania aliwahi kusema hadhwarani kabisa
TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.HATUMTAMBUI RAIS NA NGUVU YA UMMA ITAITOA SERIKALI MADARAKANI.

je hakuna mkono wake hapo katika kutimiza azma yake? Hasa ukizingatia yeye ni mkanisa na yanayochomwa ni makanisa ili achonganisha wakanisa na wenzao.
 
Wataishia kuchoma majengo tuu!MUNGU WA KWELI HAYUPO KWENYE MAJENGO!NA DAIMA YUPO NDANI YETU MILELE MPAKA UKAMILIFU WA DAHARI!
 
Kama ni kweli basi kuna jambo kama sio kuwa mnayachoma wenyewe ili kudhoofisha serikali ya Kikwete ionekane dhaifu au kupeleka mnayoyataka imekula kwenu Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung'amua. Haiwezekani watu wachome makanisa mbagala then ikisha wakachome Kigoma halafu sasa Yombo. I smell something fishing is going on. Time will tell. Ikiwa kama kweli ndugu zetu mna lengo hilo basi mnachochea moto mkubwa time will.

uchunguzi wa polisi utathibitisha.
Mi siamini huo uchomaji wote huo unafanywa na waislam, kuna jambo limejificha nyuma ya pazia.
 
[FONT=century
gothic]Inawezekana kabisa wanayachoma wenyewe ili kuzidisha chuki baina
ya waislam na Serikali yenu na vile wapate fidia kutokana na uchomaji
huo.

janja ya nyani ...[/FONT]

Of all the people...........Barubaru?

Sikutegemea kauli kama hii kutoka kwako mkuu......PHD holder unaongea upuuzi kama huu!!!

Halafu, si ulishatangaza kujiondoa JF?......Nini kilikusibu?....

Ubaguzi ni kitu kibaya sana jamani......Mungu saidia
 
hofu yangu jeshi linaongozwa na Mkristo liseje likachukua nchi kama hali itaendelea kuwa mbaya na tete. Tunaomba serikali ifike salama 2015
 
Wakristo sasa uvumilivu basi na sisi tutachma misikiti kuanzia juma3. Tumechoka kupigwa makofi hatutageuza shavu tena kusubiria vibao. Its over
 
jiulizeni nyie na dini yenu, maana christians are too civilised to act like hooligans!

Mkuu ukisema hivyo dini yenu unakosea mie nikikuhusisha wewe na dini yako na Rwanda Genocide takuwa nipo sahihi.
 
serikali ifidie makanisa baada ya kuchomwa ili kupunguza nguvu ya wanaoyachoma kwani kodi zitakazofidia ni za waislamu na wakristo. kutakuwa hakuna hasara ambayo wanaochoma wanataka kanisa lipate.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom