Mungu wako ni nani????

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Siku za karibuni kumekuwepo na kitu amabcho kinaonekana ni janga lingine la kitaifa nacho ni Watanzania (na wakaazi wengine wa dunia) kusitisha matumizi ya akili katika masuala ya msingi.

Ni juma moja tu lililopita makanisa yamechomwa moto ffu kuuawa, nguruwe kuuawa na mengine mengi.

Sasa kwa vile kila mmoja anaonekana kupigana kwa jina la Mungu, naomba wanajamvi tuelezane kati ya hawa ni nani Mungu wa kweli/wako (unayemwamini)????

  1. Allah
  2. Mungu
  3. Katonda
  4. Nzambe
  5. Rugaba
  6. YEHOVA
  7. Nyasae
  8. Ruoth
  9. ...
  10. ....
  11. ...
  12. ...
  13. ...
....
....
...
tueleze na wa kwako kama hayupo kati ya hawa.

Nawasilisha
 
mungu ni mungu tofauti ni majina yanayotumika labda kwa makabila au vingine. mf ngai,ruwa mndumii yote hayo ni majina ya mungu
 
mungu ni mungu tofauti ni majina yanayotumika labda kwa makabila au vingine. mf ngai,ruwa mndumii yote hayo ni majina ya mungu
na ndio maana hii hoja nimeileta huku maana inaweza kuonekana ni dharau kwa wengine pale unapoipeleka majukwaa 'serious'.
Sasa kwa maana hiyo inaweza kuona tumekuwa wajinga kiasi gani kwa kupambana, kuuana hadi kuchomeana makanisa wakati sote ni watoto wa baba mmoja ambaye ni Mungu.
Badala ya kujiuliza swali la msingi kuwa "kama Mungu ni mmoja kwa nini basi anawatenganisha watoto wake"?

 
Aliyekuumba wewe ndiye Mungu.
ambaye kimsingi ndiye huyo huyo aliyekuumba wewe pia, sasa ni kwa nini huyo huyo atutenganishe!??? ...au ndio kiasi cha ujinga wetu na kutopenda kufikiri juu ya mambo ya msingi kama haya!

 
mungu si Mungu mkuu beleave mi ukisikia Mungu ujue ni wa Yesu kristu miungu wa helufi ndogo siwafahamu!
asante mkuu kwa kumuelezea hilo suala la msingi na hiyo ni ushahidi kuwa hata Mungu wa kweli wengi wetu hatumheshimu na tunamdharau kwa kumuandika kwa herufi ndogo
 
mungu si Mungu mkuu beleave mi ukisikia Mungu ujue ni wa Yesu kristu miungu wa helufi ndogo siwafahamu!

hata ukiwa faham hawana msaada wwte ktk maisha yako.mbona vyanzo vya matatiz huvizungumzii nikakuona wa maana?.cna meng kaka ni hayo2.
 
Back
Top Bottom