Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike

siyo kila kitu onachoomba kwa Mungu hupewa,
je? mtu aombaye akamuue mtu naye hupewa,
huo mstari kwenye Biblia una maana nyingine tofouti kabisa na huyu mama mumbanguzi wa watoto wa kike.

Mkuu umenena vyema sana katika andishi hili, ila umejisahau kitu kimoja kuwa, tumepewa amri kuu 10, tuzishike na tuzitunze, ziwe taa na ngao katika maisha yetu ya kila siku mpaka pale kifo kitakapotuachanisha na ulimwengu.

Kumbuka kuna hasi ambayo tumekatazwa tusiyashiriki kabisa katika maisha yetu hapa duniani, mojawapo ni kuua (amri kumi za MUNGU..)

Linapokuja suala la kuomba, binadamu mwenye akili timamu hawezi kuomba aweze kuua, kama ni kuomba basi ataomba kusamehewa tu baada ya kutenda ile dhambi ya kumwaga damu isiyo na hatia, au yenye hatia pia!

Andiko liliposema kuwa ombeni nanyi mtapewa, lilimaanisha kuwa, ombeni kilicho chema mbele za macho ya Bwana!!!!

Kumbuka Isaka alipozaliwa... ni kwa maombi tu yaliyomaanishwa kwa kutaka mwana wa kiume! Lakini pia kama angalikuja wa kike, haimaanishi kuwa atachukiwa, hapana!

Nakaribisha maswali.
 
Linapokuja suala la kuomba, binadamu mwenye akili timamu hawezi kuomba aweze kuua, [color=#ff000]kama ni kuomba basi ataomba kusamehewa tu[/color] baada ya kutenda ile dhambi ya kumwaga damu isiyo na hatia, au yenye hatia pia!

Andiko liliposema kuwa ombeni nanyi mtapewa, lilimaanisha kuwa, ombeni kilicho chema mbele za macho ya Bwana!!!!

Kumbuka Isaka alipozaliwa... ni kwa maombi tu yaliyomaanishwa kwa kutaka mwana wa kiume! Lakini pia kama angalikuja wa kike, haimaanishi kuwa atachukiwa, hapana!

Nakaribisha maswali.

refer kwenye red hafu unijibu kuhusiana na huyu mama
 
Mkuu umenena vyema sana katika andishi hili, ila umejisahau kitu kimoja kuwa, tumepewa amri kuu 10, tuzishike na tuzitunze, ziwe taa na ngao katika maisha yetu ya kila siku mpaka pale kifo kitakapotuachanisha na ulimwengu.

Kumbuka kuna hasi ambayo tumekatazwa tusiyashiriki kabisa katika maisha yetu hapa duniani, mojawapo ni kuua (amri kumi za MUNGU..)

Linapokuja suala la kuomba, binadamu mwenye akili timamu hawezi kuomba aweze kuua, kama ni kuomba basi ataomba kusamehewa tu baada ya kutenda ile dhambi ya kumwaga damu isiyo na hatia, au yenye hatia pia!

Andiko liliposema kuwa ombeni nanyi mtapewa, lilimaanisha kuwa, ombeni kilicho chema mbele za macho ya Bwana!!!!

Kumbuka Isaka alipozaliwa... ni kwa maombi tu yaliyomaanishwa kwa kutaka mwana wa kiume! Lakini pia kama angalikuja wa kike, haimaanishi kuwa atachukiwa, hapana!

Nakaribisha maswali.

Kwa hiyo huyu mama kuomba mtoto wa kike yuko sawa, na nia andiko gani?
 
Ukitaka kupata mtoto wa kiume kuna mbinu lazima utumie. Hakikisha mwanamke anafika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Sababu ni kwamba mbegu za kiume (Y chromosome) zinaogelea kwa kasi kuliko mbegu za kike (X chromosome) lakini mbegu za kiume zinakufa mapema. Kwa hiyo mwanamke akifika kileleni itasaidia kupandikiza mbegu ya kiume mapema kabla haijafa. Tumia staili kama za chuma mboga ambazo zinasaidia kuzipeleka mbegu za kiume karibu na sehemu ya kuzipandikiza (fallopian tube) maana mbegu za kiume zikiogelea kwa muda mrefu zinakufa njiani. Kwa hiyo kama huyo mama anataka mtoto wa kiume amwambie mume wake asifanye papara wakati wanajaribu kupata huyo mtoto. Anatakiwa mwanaume atulie, afanye kazi yake taratibu mpaka amfikishe mke wake kileleni tena na tena.

Ndugu usidanganye watu si siku zote mwanamke anapofanya tendo la ndoa anapata mtoto au mimba kuna siku specific za mimba vivyo hivyo kuna siku maalum za kupata mtoto wa kiume, usipozingatia hizo hutapata mtoto wa kiume hata kama utafanya kama ulivyoelekeza, wapo wataalam humu jf wanajua kuchambua namna ya kupata mtoto wa kiume au wa kike. All in all hakuna mtoto mbaya wote ni wazuri tu, inategemea wewe mzazi umewaleaje.
 
Big up!
 
Hebu highlight hapo nilipoandika mwanamke anaweza kupata mimba siku zote.
 
"Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike"

Ni maneno ya mwanamke mmoja mzaliwa wa hapa dar es salaam niliyepanga naye hapa mwananyamala,
aliye na mtoto mmoja wa kiuume.

Mama huyu anadai mungu amsaidie kabisa maana kuzaliwa mwanamke na yeye kuzaa mtoto wa kike anaona ni kama adhabu kubwa sana.

Vile vile anadai watoto wa kike wa siku hizi wamekuwa mchaluko mno.

Anadai hataki kabisa watoto wake, wayapate yaliyowahi kumutokea yeye.

Kauli hii ikoje kwa wanawake wengine hapa dar es salaam

Nimeamua kuleta uzi huu kwenu, kwani huyu siyo mwanamke wa kwanza kumsikia anadai hataki kabisa mtoto wa kike..!

hilo ni ombi, japo wengi tunaomba bila kujua, atazaa watoto wa kike mpaka atajuta kwa ombi lake!
 
Hebu highlight hapo nilipoandika mwanamke anaweza kupata mimba siku zote.

Shida ni kwamba maelezo yako hayakujitosheleza kwa mtu ambaye hajui kabisa hawezi kufanikiwa kwa kufuata maelezo yako uliyokuwa umeandika. ungetakiwa ufafanue vizuri namna ya kupata mtoto wa kiume ili msomaji aelewe zaidi. Maelezo yako, yako too general hebu yasome tena mara mbili na uya-digest je mtu asiyejua kitu chochote akiapply ushauri wako anaweza kufanikiwa kupata mtoto wa kiume? Haina maana kwamba uliandika kila siku mtu anaweza pata mtoto wa kiume ila interpretation ya ulichokiandika inaonyesha ni kila siku. Upo mkuu?
 
Unaweza ukazaa wa kiume akawa jambazi mwisho wa siku anajisahau anakukaba wewe..kata kauli yk.mama ako asingekuzaa ungekuwa wapi?
 
Shida ni kwamba maelezo yako hayakujitosheleza kwa mtu ambaye hajui kabisa hawezi kufanikiwa kwa kufuata maelezo yako uliyokuwa umeandika. ungetakiwa ufafanue vizuri namna ya kupata mtoto wa kiume ili msomaji aelewe zaidi. Maelezo yako, yako too general hebu yasome tena mara mbili na uya-digest je mtu asiyejua kitu chochote akiapply ushauri wako anaweza kufanikiwa kupata mtoto wa kiume? Haina maana kwamba uliandika kila siku mtu anaweza pata mtoto wa kiume ila interpretation ya ulichokiandika inaonyesha ni kila siku. Upo mkuu?

Nimekupata lakini kuna vitu tuna assume ni common knowledge ndiyo maana sijaandika. Mfano kama mwanamke hayuko kwenye siku zake za ovulation hapati mimba. Cha muhimu ni hizo mbinu nilizoandika zina mafanikio kwangu mimi binafsi na kwa wengine wengi waliozitumia.
 
Mtoto wa kike ni laana katika familia, mkuu.

Ubaya laana inakwenda generation to generation so kama watt wa kike ni laana basi hata watoto wanaozaliwa na wanawake ni wana laana pia regardless of their gender. Kwa hiyo hata wewe hapo ulipo una laana!
 
Shikamoo bibi. Umemjibu vyema sana
 
acha ujinaga wewe mtoto ni mtoto hakuna cha mtoto wa kike au wakiume malezi ndo jambo la msingi. ukikosea kumlea mtoto awe wa kiume au wa kike ni majanga tu
 
Hahahaha Huyo mwanamke ni fyatu malezi ndo yanasababisha watoto wapotee km ye anafrahia chips kuku mwanae anazomletea bila kufaham zilipotokea anafikiria nn
 
Mambo ya mwananyamala hayo
kama hujui mwananyamala ndio hiyo ukiwa na jero unashiba
Vipi bei za Wahaya zikoje kwa sasa? Nilikuwa mteja wao mzuri enzi zile ilikuwa 700/= Kwa mshindo mmoja wa fasta.
 
Aendelee na kumchagulia mungu na shetani nae ajipatie uhalali hapo hapo aanze kulalamia ajui anaweza akazaa mwanaume na akawa shoga bora ipi hapo mwanamke kuwa mlupo au bora mwanaume kuwa shoga?
 
Back
Top Bottom