Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike

Sio tu mashoga, akawaulize wazazi ambao watoto wao ni mateja. Ukizubaa unashangaa nyumba imepigwa mnada kwa bei ya soda afu hela kijana kaenda kununulia mapoda.

Hakuna wanawake mateja, majambazi, wasagaji au unaishi dunia ya peke yako au nje ya hii bongoland
 
tumezaliwa watoto 5 wa kiume,tunavyo mtunza mama yetu,hata shetan anashangaa

kwa mtoto wa kiume kutunza mzazi mara nyingi inategemea na mke alieoa. tumezaliwa wasichana wa 4 na kijana mmoja lakini jukumu la kutunza wazazi tunaliona ni la kwetu sisi wasichana, siwezi kula kwa amani kama mama au baba yuko na shida. so watoto wote wanaumuhimu regardless jinsia yake na jinsi wewe mzazi utakavyomlea mwanao.
 
kwa mtoto wa kiume kutunza mzazi mara nyingi inategemea na mke alieoa. tumezaliwa wasichana wa 4 na kijana mmoja lakini [color=#ff845000]jukumu la kutunza wazazi tunaliona ni la kwetu sisi wasichana,[/color] siwezi kula kwa amani kama mama au baba yuko na shida. so watoto wote wanaumuhimu regardless jinsia yake na jinsi wewe mzazi utakavyomlea mwanao.

Mimi nakuunga mkono sisi watoto wa kiume ni wachache sana tunaotunza wazazi.
 
"Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike"

Ni maneno ya mwanamke mmoja mzaliwa wa hapa dar es salaam niliyepanga naye hapa mwananyamala,
aliye na mtoto mmoja wa kiuume.

Mama huyu anadai mungu amsaidie kabisa maana kuzaliwa mwanamke na yeye kuzaa mtoto wa kike anaona ni kama adhabu kubwa sana.

Vile vile anadai watoto wa kike wa siku hizi wamekuwa mchaluko mno.

Anadai hataki kabisa watoto wake, wayapate yaliyowahi kumutokea yeye.

Kauli hii ikoje kwa wanawake wengine hapa dar es salaam

Nimeamua kuleta uzi huu kwenu, kwani huyu siyo mwanamke wa kwanza kumsikia anadai hataki kabisa mtoto wa kike..!
Hata wakiume siku hizi nao wakuwa mchaluko vilevile,gha msingi hapa ni malezi kwani unaweza zaa wa kiume wakageuzwa vilevile
 
"Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike"

Ni maneno ya mwanamke mmoja mzaliwa wa hapa dar es salaam niliyepanga naye hapa mwananyamala,
aliye na mtoto mmoja wa kiuume.

Mama huyu anadai mungu amsaidie kabisa maana kuzaliwa mwanamke na yeye kuzaa mtoto wa kike anaona ni kama adhabu kubwa sana.

Vile vile anadai watoto wa kike wa siku hizi wamekuwa mchaluko mno.

Anadai hataki kabisa watoto wake, wayapate yaliyowahi kumutokea yeye.

Kauli hii ikoje kwa wanawake wengine hapa dar es salaam

Nimeamua kuleta uzi huu kwenu, kwani huyu siyo mwanamke wa kwanza kumsikia anadai hataki kabisa mtoto wa kike..!
Achana na watu wengine hebu tupe mrejesho wako!umeshahama kwenye danguro unaloishi?hama bhana ohoo!
 
ungemuuliza sababu ndo ukaja hapa jamvini, binafsi napenda kuwa na mtoto yeyote. Nina wa kike first born, mwisho watatu tu! Ikitokea wote watatu kuwa wa kike poa tu nasitisha zoezi.
Mwambie afanye uchunguzi kati ya watoto wa kike na wa kiume ambao ni baraka kwa wazazi wao....angalia kwa uwiano!
 
unapata wa kiume linakuwa bwabwa. usimpangie mungu dada kuzaa ni majaaliwa
 
"Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike"

Ni maneno ya mwanamke mmoja mzaliwa wa hapa dar es salaam niliyepanga naye hapa mwananyamala,
aliye na mtoto mmoja wa kiuume.

Mama huyu anadai mungu amsaidie kabisa maana kuzaliwa mwanamke na yeye kuzaa mtoto wa kike anaona ni kama adhabu kubwa sana.

Vile vile anadai watoto wa kike wa siku hizi wamekuwa mchaluko mno.

Anadai hataki kabisa watoto wake, wayapate yaliyowahi kumutokea yeye.

Kauli hii ikoje kwa wanawake wengine hapa dar es salaam

Nimeamua kuleta uzi huu kwenu, kwani huyu siyo mwanamke wa kwanza kumsikia anadai hataki kabisa mtoto wa kike..!
The world without women, could be as follows:-
There wont be anyone to share your life with

There wont be anyone nagging you to bits

There wont be anyone for whom you can get gifts and flowers
The world will become bland and all back and grey
There wont be much color or taste or texture
There may not be much pleasure in music as you wont know whom to sing it to
You wont have a mother who would care for you, neither a sister who could inspire you, or a gf or wife to clear the mess around the house
No homemade food either I'm afraid
No cute little baby girls to come back home for
Worst of all, no-one to say 'I Love You' or spend a romantic evening with...not the mention the most obvious =P
And then all men would have to go back to MARS as the Earth would be so boring then!!!
 
"Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike"

Ni maneno ya mwanamke mmoja mzaliwa wa hapa dar es salaam niliyepanga naye hapa mwananyamala,
aliye na mtoto mmoja wa kiuume.

Mama huyu anadai mungu amsaidie kabisa maana kuzaliwa mwanamke na yeye kuzaa mtoto wa kike anaona ni kama adhabu kubwa sana.

Vile vile anadai watoto wa kike wa siku hizi wamekuwa mchaluko mno.

Anadai hataki kabisa watoto wake, wayapate yaliyowahi kumutokea yeye.

Kauli hii ikoje kwa wanawake wengine hapa dar es salaam

Nimeamua kuleta uzi huu kwenu, kwani huyu siyo mwanamke wa kwanza kumsikia anadai hataki kabisa mtoto wa kike..!

PUMBATUUUUPU uwe unapima nawe title na yaliyomo sufuri tupu.
 
Back
Top Bottom