Mungu aonyesha ishara ya kuirudisha nchi kwa wenye uchungu na nchi yao.....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Ushindi wa Wa Chadema Arumeru Mashariki ni ishara tosha ya kuirudisha nchi hii mikononi mwa wateule na wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi wa Arumeru ilikuwa ni Vita kati ya Tajiri na Maskini,lakini Mungu ni Mungu,Na mipango yake si Mipango ya binadamu.
Uchaguzi huo pia ni ishara tosha ya kuwa kifo cha Wanyonyaji, wafilisi wa nchi hii kuangamia,Watanzania,Wamechoka na wana hali ngumu lakini Mungu atatupigania.
Hongera chadema ,hongera NASSARI.
 
Back
Top Bottom