Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 887
- 2,201
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake.
Nashauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM kwamba huku ni kukitikisa dola na kuijaribu Serikali. Ulegevu katika hili utakuwa ni udhaifu mkubwa na hatari mbele ya macho ya sayari yetu.
Mbowe na genge lake wadhibitiwe kijeshi maana anawauza wennzie. Yeye keshalamba asali anataka akombe tena kijiko? Shubaaamit.