Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,455
- 3,428
Yani ile siku hata nikiona text isiyoelewaka katika simu yake nisipanic, nimuulize tu nani huyu? asiponipa majibu yakueleweka hata isiniumize kichwa nilale kwa amani kabisa asubuhi niamke niende katika mishe zangu huku maamuzi ya busara ya kumuacha yakiwa njiani
Mungu anipe moyo wa chuma hata ile siku akiniambia kama vipi niache isiniumize kichwa hata kidogo, na nimuulize upo sirias unahitaji nikuache? Ikiwa jibu ndio basi hata nisisite kufanya hayo maamuzi ya busara
Mungu anipe moyo wa chuma usioendeshwa na kitu mapenzi hata kiduchu
Mungu anipe moyo wa chuma wa kuwa tayari kupokea matokeo yoyote mda wowote,
Yani ikisemwa it's over, it's over hakuna haja ya kwenda kumzonga muamuzi tena sijui mbona dakika chache
Mungu anipe moyo wa chuma niweze yafurahia maisha bila ya expectation yeyote kwa mtu fulani,
Maisha ni mafupi haya, sisi binadamu hatutabiriki hata sekunde mbili
Mungu anipe moyo wa chuma Mimi Ndugu Bwana Fene,
Wanajf tuseme Ameeen