nimwindael
Member
- Nov 5, 2013
- 6
- 2
Heshima kwenu wakuu
Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu mpaka nimseme sana ndio anaoga,hatushirikiani tena kama mwanzo nikijaribu kuongea nae anakasirika sana sikuhiyo hawezi hata kulala na mimi anahamia chumba kingine.kiukwel hii hali inaniumiza sana na nashindwa nimsaidiaje.
Naombeni ushauri wenu wakuu.