Mume wangu kabadilika tabia sana niliposhika ujauzito

nimwindael

Member
Nov 5, 2013
6
2
Heshima kwenu wakuu

Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu mpaka nimseme sana ndio anaoga,hatushirikiani tena kama mwanzo nikijaribu kuongea nae anakasirika sana sikuhiyo hawezi hata kulala na mimi anahamia chumba kingine.kiukwel hii hali inaniumiza sana na nashindwa nimsaidiaje.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
 
Ukishajifungua akiona kachanha atabadilika labda hana uhakika kana mimba hiyo chanzo ni yeye na wewe
 
Sijawahi mpa sababu ya kuhisi kama mtoto si wake na nikimuuliza kama nimemkosea anasema hapana
 
Mmh au ndio wale mimba anabeba mke zile karaha na vijitabia vya mimba anapata mume kuwa na homa hamu ya vyakula flani, kichefuchefu na vinginevyo hebu chunguza
 
Siku hizi mambo madogo yanayo jadilika na wahusika tu watu wanayaleta jamiiforums. Hapa ni kama gazetini au ktk television ni sehemu ya jumuuia adharani hata kama hatuonani. Mengine yamalizeni kifamilia wahusika tu na mkishindwa kawahusishe ndugu, mshenga, rafiki au wazazi. Vijana msidhani kaka zenu na dada zenu familia zetu hazina misukosuko bali tunayamaliza wenyewe sio hapa.
 
Tatizo tunaolewa sijui kuondoa nuksi tu! Hizi changamoto nyingine naona tunahisi kuwa hatuwezi kuzipata!
 
Nasikia wanawake huwa mnaongea sana, sijui hayo madai kama ni ya kweli
 
Kwa lugha laisi tunasema anakusaidia usije shangaa hatasiku yakujifungua uchungu akaumwa yeye naukishajifungua atarudi kuwa sawa kama mwanzo
 
Heshima kwenu wakuu

Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu mpaka nimseme sana ndio anaoga,hatushirikiani tena kama mwanzo nikijaribu kuongea nae anakasirika sana sikuhiyo hawezi hata kulala na mimi anahamia chumba kingine.kiukwel hii hali inaniumiza sana na nashindwa nimsaidiaje.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Vumilia ni kipindi kitapita ni complications za mimba zimegeukia kwake usishangae siku ukamkuta analamba ndimu na kupenda vitu vya ugwadu
 
Kama wewe hukereki na hiyo mimba badala yake yeye ndiyo mwenye hizo karaha... maana yake kwamba wewe umebeba mimba yeye kabebeshwa tabia...
 
Yani kwenye papuchi ndio hana muda kabisa anasema hana hisia
kwa jinsi mm ninavyo wafahamu watu wenye mimba lazima kunakauli mbovu umewahi kumjibu na hiyo ndiyo iliyo mkatisha tamaa.
mm ni muhanga wa hayo mambo kwahiyo nafahamu sana.
 
Heshima kwenu wakuu

Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu mpaka nimseme sana ndio anaoga,hatushirikiani tena kama mwanzo nikijaribu kuongea nae anakasirika sana sikuhiyo hawezi hata kulala na mimi anahamia chumba kingine.kiukwel hii hali inaniumiza sana na nashindwa nimsaidiaje.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Mnaishi hapa dsm au Iringa?? Siku tatu bila kuoga!!!....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom