Mume wangu hanifikishi kileleni : Ushauri

Nasisitiza tena kama wewe uko kwenye ndoa kumbuka mungu ndo amekubariki mpaka kufika hapo, cha msingi ni kuelezana kwa utaratibu ili kumaliza tatizo lenu kwa uwazi na kwa imani,mungu atawasaidia na pia ombeni amani ktk familia yenu mambo yataenda sawa,ubarikiwe
 
Cna cha kuongezea ila napnda kuungana alie kupa ushauri wa kwnza na ni kweli lazima uandae msingi sio kukaa na kusema kuwa nyumba yangu inapasuka kumbe msingi mbovu renta hauweki nondo ikomae sasa unakaa kulalamika nini
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu.

Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora.

Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote.

Naumia sana je nifanye nini?

Pale dar kuna mzungu fulani ana mbwa wake. Huyo anaweza kukusaidia
 
Mtafutie dawa ya kuongeza nguvu za kichina. Muwekee kwenye juice kimya kimya. Muache nusu saa, alafu lianzishe. Utafika kileleleni mara 2, yeye labla mara moja. Ni-pm nikuelekeze zinapatikana wapi.
 
Funge. ulichokiandika kinaonesha kwa.jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikiri. kama huna cha kuandika kaa kimya usilete mdomo kunuka.
 
Last edited by a moderator:
Kama utaongea naye hakikisha haumwambii ktk hali ambayo itamfanya akose ujasiri kwako kwa hofu.
Kuna mmoja alimwambia mumewe kuwa hajui kufanya mapenzi,halafu siku nyingine akamwambia hamfikishi.
Hilo lilikuwa shida na jamaa alipoteza uwezo na hamu ya kuwa na mkewe. Kuwashauri na kuwarudisha ktk hali ya kawaida ilikuwa shughuli pevu. Pia nawashauri wanawake na wanaume usimfananishe mwenzi wako na yule uliyekuwa naye kipindi hicho au mchepuko ulionao sasa hivi,hili litasababisha mtafaruku kila siku kwa kudai haufikishwi kileleni,au unataka sababu ya kuchepuka?
 
Wanawake wanaharibu sukari kwa dildo au kuwahi kuharibiwa na kuota sugu. Baadae wanaanza kulia hamfikishwi
 
Huyo atamsaidia mkeo na dada zako.
Sa uliomba ushauri Wa nn kama majib unayo?
We Wa kiume unatuenjoy tu hapa
Sijui ushenz huu na unafki huu utaisha lini mijitu mingine bana unajiskia raha mwenyewe kupata pm
 
Kaanae mwelekeze jinsi ya kufanywa utafka kwa vjinguvu hvyihvyo vidogo alvyonavyo wala haitaji usimba
 
Back
Top Bottom