Mume wangu hanifikishi kileleni : Ushauri

Kwa hiyo umeona uje usemee hapa? au yupo humuhumu lakini na yeye anaweza kuwa na la kusema kuhusu wewe.kaa ongea nae melewane msipo elewana uje tena tukusaidi
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

Jambo la kwanza kabisa ni kuongea naye. Mweleze kinagaubaga jinsi anavyokuacha njiani. Eleza kwa upole na wakati muafaka ukiwa umetulia kabisa isiwe wakati wa tendo lenyewe.
Hapo nina uhakika mtaanza kupata ufumbuzi wa tatizo kwa asilimia kubwa tu. Anaweza kung'aka lakini baadaye naamini atatafakari na utaona mabadiliko taratibu.
Wakati mwingine ukiona anajaribia wakati wewe bado jaribu kuvuruga momentum ili muanze upya. Kuna mahali mtafika wote! Good luck!
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

Jamani!!! zaidi ya miaka 10 umeweza kuvumilia hali hiyo! leo umeanza michepuko umeonjeshwa vitamu unaanza kuhaha na kutoa siri za ndoa yako.... Shame on you! acheni kuonja vya nje vya ndani utaona havinogi..... any way jitahidi kuvuta hisia zako zote wakati wa kitendo huku ukijisaidia kwa kujichezea ili upande hapo unapotaka.
 
Tuliza akili , weka hisia katika tendo,,,,, kama kuna kero au maudhi usiyape nafasi
 
Labda dada papuchi yako MILE imevuta sana?Umewahi pitisha kutoa watoto wangapi hadi sasa?

Maana as an papuchi expertise nahitaji sana maelezo yako kabla sijajibu lolote
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

nyie wanawake ni wa ajabu sana, siku moja niliandika thread kwamba ndani ya dakika tatu ninamfikisha bibie wangu kileleni na mimi napiga bao la clint demsley, mkaniambia mapenzi ya kuku, kwani mapenzi mpaka umsugue mwanamke kwa nusu saa ndo ujione wewe kidume, acheni story za vijiweni za mateenagers, kila bao la kwanza lazima liwahi hata kama umekula mkongoraa robota mbili. nawasilisha.
 
miaka yote hyoooo vumilia tu
 
kwani kipindi cha nyuma ilikuwaje?au hajawai kukufikisha?
JF rahaaaaaaaaaa
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?
Very simple wakati mnadu usimruhusu amalizie ndani hiyo itampa nguvu ya kurudia au kuendelea bila kupumzika ila pia mwambie ajue hilo ni tatizo mtafute suluhisho kwa pamoja na mara nyingi mwanamme ukimweleza atajiskia vibaya na kujirekebisha fasta
 
kwa kuwa ni wako mwambie azame chumvini kwa muda mrefu mpaka ujisikie utakaka kushuka then fasta mwambie aingize utakojoa nae tu
 
nyie wanawake ni wa ajabu sana, siku moja niliandika thread kwamba ndani ya dakika tatu ninamfikisha bibie wangu kileleni na mimi napiga bao la clint demsley, mkaniambia mapenzi ya kuku, kwani mapenzi mpaka umsugue mwanamke kwa nusu saa ndo ujione wewe kidume, acheni story za vijiweni za mateenagers, kila bao la kwanza lazima liwahi hata kama umekula mkongoraa robota mbili. nawasilisha.
Wanawake woye hawapo sawa wapo wanawake hata uwafanye nn hawaridhiki ni lazima uende naye mda mrefu tatizo hapa watu wanajenga hoja as if wanawake wote wafanana mi wangu
Lazima ikeshe ndio kieleweke
 
Mbona wanaotoa comments hapanni wanaume sana? Hawa wameguswa au? Au upashukuna?
Au kazi hamna ndo maana. Aise!!!

The king.
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

Awali alikuwa hivi?? Alianza muda gani kuwa hivi?? Mnapata muda wa kupiga story mbili tatu yaani mko kirafiki zaidi au kila mmoja na shughuli zake?? Kabla ya tendo huwa mnafanya maandalizi ya kutosha?? Mnabadisha mazingira ya tendo kwa mwaka mara ngapi?? Ni mtu mwenye majukumu sana? ni mlevi? Upo kama alivyokuoa, kwamba bado unajiweka smart, mrembo na nk?

Majibu ya haya ndipo naweza kukushauri vizuri
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

R u sure unamuandaa vyema?
 
Back
Top Bottom