Mume wangu ana michepuko hamsini kidogo

Hata kama, bado ni mapema mnoo.Lakin kusema ukweli sisi wanaume kuchepuka hakuepukiki,tatizo nyie wenzetu ukweli huo hamuutaki.kinachotakiwa asifanye waziwazi lakin pia na wewe usitengeneze mazingira ya kumfumania,usikague simu na uciwe mtu wa kuhesabu michepuka ya mumeo.Wakati mwingine tunamuoa mtu siyo kwamba unampenda ,hapana ni maisha tuuu.Wootee tujue Mungu anatuona.
Kwa hiyo unatetea maovu?
 
Habari za weekend wakuu,

Nimekuwa na wakati mgumu kwa muda mrefu bila kufurahia ndoa yangu tangu nimeolewa. Ni hivi mume wangu amekuwa ni mtu wa michepuko isiyo na idadi kibaya zaidi hakuna beki tatu atakakuja asiye tembea nae hata awe mbaya kiasi gani. Kilichonifanya nilete uzi huu humu kwa lengo la kupata ushauri.

Ni kuwa asubuhi niliamka vyema na kwakuwa ni weekend nilimuuliza ana ratiba gani akajibu hana ratiba yeyote atakuwepo tu nyumbani.Ilipofika saa nne tukapata mgeni ambaye ni Jirani, ni baba mtu mzima sana alikuja kumuonya mume wangu ache tabia ya kutembea na mkewe.

Wakati naendelea kutafakari hilo nikapokea ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwa mwanamke aliyejitambulisha kama mpenzi wa mume wangu na anamuulizia kama yupo, nilimwambia akakana kabisa. Baada ya muda kidogo akapokea simu ambayo hakutaka nisikie akaenda kuongelea nje ya geti alipomaliza tu akaniaga nikamzuia asiondoke lakini akaondoka kibabe.

Binfsi sioni maana ya kufuga malaya kama huyo, anakula vyangu, hela anatumia zangu anaishi kwenye nyumba yangu halafu anifanye mie kama spare tyre?

Naombeni ushauri kuna haja ya kuendelea na mtu kama hayu? Nilidhani kumpa gari ndo kunamfanya aweweseke hivyo nikaamua kuliuza gari lake mwze wa tano lakini bado hakomi.

Nipeni dawa nimkomeshe.
Sio kila tatizo lazima ulipost mtandaoni. Watafute watu wake wa karibu mkaliongelee hilo suala
 
Mimi sijasema hivyo please.
Maneno yako yanaashiria hivyo...
kwa mfano, uliposema ..... nanukuu...

Binfsi sioni maana ya kufuga malaya kama huyo, anakula vyangu, hela anatumia zangu anaishi kwenye nyumba yangu halafu anifanye mie kama spare tyre?.......... nanukuu zaidi............

Nimekuwa na wakati mgumu kwa muda mrefu bila kufurahia ndoa yangu tangu nimeolewa. Ni hivi mume wangu amekuwa ni mtu wa michepuko isiyo na idadi kibaya zaidi hakuna beki tatu atakakuja asiye tembea nae hata awe mbaya kiasi gani. Kilichonifanya nilete uzi huu humu kwa lengo la kupata ushauri.


Hayo niliyoyanikuu yanatoa ujumbe gani?
 
Mwambie asipobadilika na wewe utaanza kuchepuka kisha kama kimya bila kumfuatilia wala kumwonyesha wivu hata akirudi usiku. Badili ratiba zako na uanze kutoka na marafiki zako kwenda sehemu mbalimbali na Milango ya maendeleo usimhusishe. Kama ana Akili atabadilika.
 
...Chezeya JF na mitandao weye...
So having read these two, mhh better reserve my comments for now.


moniccca JF-Expert Member
#1
Mar 4, 2016

Joined:Nov 15, 2015
Messages:913
Likes Received:468
Trophy Points:80
Habari zenu wanajamvi,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.

Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati na taratibu za harusi na my Mr. Right ambaye nilimpata kupitia tangazo langu la mwezi Jan.2016,
binasi sikutarajia kama mambo yatakwenda kwa speed kubwa namna hii lakini ndivyo ilivyokuwa.

Taratibu zote zimekamilika na Jana tu ndo mahari yote imelipwa, kweli nina furaha na amani sana kwa hatua niliyofikia, namshukuru mchumba wangu kwa seriousness alionionesha.

Wandugu tarehe ya harusi imepangwa na Jumapili ya tarehe 6 march 2016 tangazo la kwanza la harusi yangu litatangazwa.

Tarehe ya harusi imeshapangwa na vikao vinaanza kesho, naomba tarehe nisiiweke wazi kwanza, nitaiweka wazi siku tatu kabla ya harusi. Asanteni
sana.

Wewe ambaye umetupia tangazo lako amini tu utampata unae mtaka.Usichoke wala kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom