Mume anapo-support ujinga wa mkewe!!!!

Umenichekesha. Bora kushindanisha zawadi kwani ni faida kwa wanandoa.

Kuna zile za nyimbo za mipasho harusini. Oooh walisema amuoi mbona kamuo. Tena vidole wanawanyooshea wakwe na mawifi; si balaa ni nini?
Badala ya kuweka nyimbo za furaha na pongezi wanaanza mipasho. Oooh kwetu alikuwa anakula nyama msimpe kauzu.

hiyo ndio inaitwa culture... mbaya kwako wenzio wanaienzi.
 
Tuacheni stereotyping wabongo haitufikishi pahala, sana sana tunawakwaz wenzetu tu hapa jamvini.
 
Naheshimu sana wanawake hivyo naogopa kuwajibu ki2 ninachohisi kitawakwaza, ni hivyo tu kipipi and am telling u from deep inside my heart! Nakumbuka long time back, kuna dada mmoja humu humu JF mara kwa mara alikuwa anapenda sana kuchangia post zangu kwa matusi (sijui ugomvi wetu ulianzia wapi). Hata hivyo, nilimuomba aache hiyo tabia kwani naheshimu sana wanawake hivyo nilichelea nisije nikatumia lugha ambayo yeye alikuwa anaitumia! Sisemi ww umenitusi; ila nilihisi kukujibu sawa na ulivyochangia ingepelekea kujibu isivyo busara!

hahahahaaa....! Justification is not allowed. Usiogope kijana we bomoka tu wala Kipipi hawezi kwazika kizembe zembe namna hiyo! Kumheshimu kwako mwanamke hakukuzuii kumdharau kipipi thats why ukamwambia kwa kuwa ye ni mwanamke so 'u have no coment'. Nilikuelewa sana, kwa hiyo hata ungeamua kutukana nisingeliconsider hilo tusi hata kidogo ila ningeangalia hoja uliyojibu! Uwe na amani kabisa!
 
umenichekesha. Bora kushindanisha zawadi kwani ni faida kwa wanandoa.

Kuna zile za nyimbo za mipasho harusini. oooh walisema amuoi mbona kamuo. Tena vidole wanawanyooshea wakwe na mawifi; si balaa ni nini?
Badala ya kuweka nyimbo za furaha na pongezi wanaanza mipasho. oooh kwetu alikuwa anakula nyama msimpe kauzu.

Basi unakuta watu waanza kununiana toka siku ya harusi.

afadhali hizo nyimbo zingine ni za enzi na enzi

mimi huwa nashangaa nyimbo au mashairi ,tena ya siku hizi kabisa
unasikia 'tupendane wabaya waulizane' as if bila wabaya umuhimu wa kupendana haupo...

Yaani nyimbo zetu zinajali saana the third party,while wenzetu utaona ni wao wawili tu
like 'i will always love you....
Husikii sana nyimbo zao zikitaja wabaya wao....kuliko sisi...
 
kama hujaombwa, si vizuri kutoa vilecture na ushauri juu ya maisha ya mwenzio, hasa yale yahusuyo mambo ya ndoa.

Hata kama watakuwa waswahili, hayakuhusu. Wewe endelea na 'ustaarab' wako na tafuta marafiki wastarab wa kuwatembelea.

USINISHAWISHI niamini kwamba bado humu ndani watu hatufahamu ni hasa maana ya mambo ya ndoa!!!!! Ina maana kibao chenye maandishi ni masuala ya ndoa Freema?! gimme a break lady! Sikuuliza kwanini hawapati mtoto! Sikuuliza kwanini mke wake amekonda au amenenepa! Sikuuliza kwanini kaoa mwanamke kama yule!! Sikuuliza wanatarajia kupata watoto wangapi! Sikuuliza kwanini kila siku wanakula maharage au nyama! Sikuuliza kwanini kaoa mke mrefu/mfupi! Sikuuliza..........!!!! Mlolongo ni mrefu, hivyo sikutarajia kama mtu anaweza kushindwa kutofautisha kati ya maisha ya ndoa/family/personal na issues ambazo ni za kijamii zaidi!!! Sio siri, baada ya kuona umeibuka na jazba, nikalazimika kurudia kuisoma post yangu tena na tena!!! Ajabu ni kwamba, sikuona sehemu yoyote niliyoandika kwamba mshikaji wangu sio mstaarabu!!! wewe hiyo umeitoa wapi?! naona ulichofanya wewe sio kutaka kuichangia post yangu, bali kuendeleza malumbano aliyoyaacha mtu anayejiita Gaijin ambae nilimwambia sitaki malumbano! Hayo ya kwamba nikatafute rafiki mwingine mstaarabu umeyatoa wapi bibie?! Hivi unaweza kunijuza chanzo cha jazba hiyo wakati niliyekuwa nimemshauri tulikuwa tunaongea kirafiki na wala hakukereka!!! Sasa mwenzangu wewe kinachokufanya ufure kiasi hicho nini?! By the way, niliuliza kama ni busara kuwa na maandiko kama hayo majumbani kwetu; mwenzagu badala ya kujibu hoja unakuja na jazba na kunitaka "nitafute" rafiki mwingine mstaarabu!!!!!!! hivi mwenzangu wewe huwa hutoi ushauri kwa rafiki yako?! Usisema huingilii personal issues kv ile sio personal issue na wala sio suala la kindoa!
 
hahahahaaa....! Justification is not allowed. Usiogope kijana we bomoka tu wala Kipipi hawezi kwazika kizembe zembe namna hiyo! Kumheshimu kwako mwanamke hakukuzuii kumdharau kipipi thats why ukamwambia kwa kuwa ye ni mwanamke so 'u have no coment'. Nilikuelewa sana, kwa hiyo hata ungeamua kutukana nisingeliconsider hilo tusi hata kidogo ila ningeangalia hoja uliyojibu! Uwe na amani kabisa!

Sina tabia ya kumuogopa yeyote bali nina silika ya kuheshimu makundi fulani ya kijamii ambayo hata yakinikwaza, basi nitajitahidi (haijalishi hata kama nitashindwa) kutotoa the same reaction. Kama unazani na-justfy then let me consider myself fool. hata nilivyoku-PM, it was a matter of respect hata kama uta-undermind!
 
USINISHAWISHI niamini kwamba bado humu ndani watu hatufahamu ni hasa maana ya mambo ya ndoa!!!!! Ina maana kibao chenye maandishi ni masuala ya ndoa Freema?! gimme a break lady! Sikuuliza kwanini hawapati mtoto! Sikuuliza kwanini mke wake amekonda au amenenepa! Sikuuliza kwanini kaoa mwanamke kama yule!! Sikuuliza wanatarajia kupata watoto wangapi! Sikuuliza kwanini kila siku wanakula maharage au nyama! Sikuuliza kwanini kaoa mke mrefu/mfupi! Sikuuliza..........!!!! Mlolongo ni mrefu, hivyo sikutarajia kama mtu anaweza kushindwa kutofautisha kati ya maisha ya ndoa/family/personal na issues ambazo ni za kijamii zaidi!!! Sio siri, baada ya kuona umeibuka na jazba, nikalazimika kurudia kuisoma post yangu tena na tena!!! Ajabu ni kwamba, sikuona sehemu yoyote niliyoandika kwamba mshikaji wangu sio mstaarabu!!! wewe hiyo umeitoa wapi?! naona ulichofanya wewe sio kutaka kuichangia post yangu, bali kuendeleza malumbano aliyoyaacha mtu anayejiita Gaijin ambae nilimwambia sitaki malumbano! Hayo ya kwamba nikatafute rafiki mwingine mstaarabu umeyatoa wapi bibie?! Hivi unaweza kunijuza chanzo cha jazba hiyo wakati niliyekuwa nimemshauri tulikuwa tunaongea kirafiki na wala hakukereka!!! Sasa mwenzangu wewe kinachokufanya ufure kiasi hicho nini?! By the way, niliuliza kama ni busara kuwa na maandiko kama hayo majumbani kwetu; mwenzagu badala ya kujibu hoja unakuja na jazba na kunitaka "nitafute" rafiki mwingine mstaarabu!!!!!!! hivi mwenzangu wewe huwa hutoi ushauri kwa rafiki yako?! Usisema huingilii personal issues kv ile sio personal issue na wala sio suala la kindoa!

Kama ungetaka watu wajadili iwapo ni busara watu kuweka maandiko kama hayo tu, usingetujazia mlolongo wa maelezo mengine yanayoweza kuibua mjadala kama

wanawake na mipasho,

watu wa pwani na mipasho

Mwanamme ku support ujinga wa mkewe

Ushauri ulotoa na majibu ulopata

Yote hayo yanampa mtu kuamua pakuchangia.
 
"Sikiliza zepipo, unajua ktk.................!!!!" am sorry mkuu, i was abt 2 tell u something, lakini ukiona nimeshia njiani basi fahamu kwamba nimekudharau, yaani u don' deserve my explaination!

Hivi kwani maandishi ya kwenye hicho kibao ni ya uongo? Ukienda kwa mtu fuata shida yako, ukitaka umbea......nyumbani kwako tena uyaseme ya kwako mwenyewe! Kama wewe ni civilized na sio mmbea, halitakuhusu hivo ya ndani mwa watu yaache kama yalivo na usiyafanyie umbea!
 
Unajua hakuna culture ambayo ni perfect na hatutaki kusema kuna walio superior kwa wengine ila kutokana na malezi tofauti mimi naona yale ambayo sikulelewa nayo na mwingine anaona yale ambayo ni issue kwenye culture yangu. Ila ukiwa mtu wa ku learn you can easily adjust na ku cope na watu wenye background tofauti. Ukishindwa ku learn ni bora uamue kuwa conservative kwa maana ya kuoa au kuolewa na watu wa kwenu.

Ndio maana ni rahisi kuishi na mtu aloenda shule kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa ku mix na watu kwa sababu ya exposure

Ila tukumbuke kuna baadhi ya vitu havikubaliki universally
 
unajua hakuna culture ambayo ni perfect na hatutaki kusema kuna walio superior kwa wengine ila kutokana na malezi tofauti mimi naona yale ambayo sikulelewa nayo na mwingine anaona yale ambayo ni issue kwenye culture yangu. Ila ukiwa mtu wa ku learn you can easily adjust na ku cope na watu wenye background tofauti. Ukishindwa ku learn ni bora uamue kuwa conservative kwa maana ya kuoa au kuolewa na watu wa kwenu.

Ndio maana ni rahisi kuishi na mtu aloenda shule kwa kuwa ana uwezo mkubwa wa ku mix na watu kwa sababu ya exposure

exactly
watu wakienda shule na kusafiri safiri
wanajua how wrong their culture is or i should say how different ......
Mfano mimi nina ndugu yangu alienda australia akaoa mzungu..ili apate uraia...
Siku kamfumania mzungu,si akampiga ...majirani wakaita polisi...
Mahakamani.....akaonywa,akarudia tena kumpiga huyo mwanamke wa kizungu
mara ya pili wakamtimua...
Tukaenda kumpokea mwalimu nyerere airport......

Yeye alidhani mkeo unampiga tu unapojisikia kama sisi huku lol

haruhusiwi kukanyaga australia tena,can you believe it??????
 
Kwa nini tusiseme tu "kuna watu wambea" au " kuna watu wasengenyaji" au "kuna watu hawana utu zaidi ya pesa" tu badala ya kutaja sifa na kabila.

Naamini hakuna tabia iliyopo kwa watu wote wa kabila fulani tu ambayo watu wengine wa makabila mengine hawana
 
Huu ni mmoja ya misemo ambayo naichukia saaana. Ila kwa mara ya kwanza nimeona una make sense!

Leo mapenzi yako moto moto mwanaume haoni hicho kibao. Siku kukiwa na conflict utashangaa.
Ata rewind maneno yote kuanzia uloandika mpaka ulowatamkia nduguze.

Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Sababu na wewe unaweza kuwa unaijua. Mtu akiongea kwa mifano anaeleweka zaidi. Hata wanaotumia Biblia Yesu alifundisha kwa mifano. Na kusema ni kabila fulani si lingine ni kwa sababu yawezekana ilo kabila linafit zaidi kama sample.

Back
Top Bottom