Mukama Kuandaa Majibu Kujibu Mapigo ya Mbowe!!!

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,394
12,978
Inasemekana baada ya yale mapigo ya Mbowe leo, CCM sasa wanahaha na Katibu Mkuu wa CCM ameambiwa amwandalie Waziri Mkuu majibu ili wajihami na mapigo ya Mbowe!!
 
Serikali ya magamba hovyo kweli, yani majibu ya serikali yanaandaliwa na katibu mkuu wa chama cha magamba
 
Majibu tunayotaka ni utendaji unaokubalika na tunaotazamia watanzania, wapinzani wananadisha sera ili wachukue nchi, CCM imeshika nchi sitegemea CCM kunadi sera ila kutekeleza sera. Mbona CCM wanacheza machezo wasiojua unaowatumbukiza kwenye shimo refu.
 
Hatuhitajki majibu, hawa watu wanadhani kila kitu kinahitaji kulumbana...tunataka wadondoshe kitendo tu basi!!
 
Back
Top Bottom