Mukama aviabisha vyombo vya Usalama: Adai CDM imeingiza mamluki toka ng'ambo

Vita si ya chadema ni ya nguvu ya umma lazima mafisadi yakamuliwe na kufumuliwa na wanaIgunga mbinu zote chafu za ccm wameshazijua.watasema watochoka jimbo linaenda chadema
 
Ndugu zangu mi binafsi nieshindwa kuelewa kauli ya kilaza mkama na tuhuma kuhusu CDM kuleta magaidi thelathini naa!!!
juzi mizengo pinda ameagiza JWTZ kuzuia sukari isivushwe nje ila tukaona ni sawa kwani polisi kwa sasa hawawezi kwakuwa wako bize
na kampeni za igunga polisi wanapaswa kukumbushwa wajibu wao kwani wamesahau na kubaki kutumika na ccm
swali langu
je waandishi wa habari ni bora zaidi kuliko
1,polisi vibaraka wa ccm?
2,JWTZ?
3,usalama wa taifa?
4,na uhamiaji?
hawa CHADEMA hawana hata dola wametoa wapi nguvu ya kuingiza hao magaidi?
inadhihirisha kuwa CHADEMA ni wanauwezo kupita magamba mpaka wameweza kuwazidi ujanja.
kwa maana hio CHADEMA wajiandae kuitawala hii NCHI ili yuwe SALAMA maana ccm hawajui wajibu wao tena
NAWASILISHA.
 
Ili kuipangua propaganda basi ni lazima cdm itoe maelezo kuhusu ile barua aliyokuwa nayo mukama aliyodai imesainiwa na Lwakatare.Kusema tu kwamba ni propaganda na kwamba 'tunamsamehe bure'hayatoshi kuwaelewesha wapiga kura.Lazima cdm ijibu hoja hii kwa uzito wake haraka iwezekanavyo.Haitoshi tu kulalamika kuwa 'wanatusingizia.'
 
Wewe ni wa wapi anayetakiwa kuthibitisha madai ni mshitakiwa au anayeshitaki, kazi ya mtuhumiwa ni kusema sijui,hapana,sikuwepo,muongo nk basi.
 
SI VEMA KAURI ZA JINSI HII. BE OBJECTIVE PLS hakuna vijana wa kiislam wanaoweza kutumiwa kama bigjii na kutumwa kana kwamba hawana akili. Mbona unataka kuleta hisia za kidini hapa>
Komandoo Malaria Sugu ameishaelekea Igunga kwa ajili ya ughaidi na kuwafundisha vijana wa kiislamu kubeba mabomu na kujitoa muhanga. Wao magmata ndio wameingiza maghaidi Igunga, akiwemo MS
 
Wewe ni wa wapi anayetakiwa kuthibitisha madai ni mshitakiwa au anayeshitaki.
Hakuna aliyeshtaki!Mukama katibu mkuu wa CCM ameongea na waandishi wa habari kuishutumu cdm kuwa imeleta makomandoo kuvuruga uchaguzi wa Igunga!Tupo kwenye kampeni na kila shutuma inapotolewa na mpinzani wako kukaa kimya au kueleza tu kuwa 'namsamehe bure'bado haitoshi kumfanya mpiga kura aone kuwa ni kweli ile barua yenye hayo majina yenye saini ya Lwakatare ni ya kutengeneza.Hili suala haliko kortini mkuu feedback.Mara nyingine 'hasa kwenye kampeni' ni lazima kupangua kila propaganda ya mpinzani wako haraka iwezekanavyo.Tuendelee kujadili bila 'ushabiki uliopitiliza'!
 
Nilipomwangalia mzee Mukama alivyokua anaongea kwa jazba huku ameshikilia karatasi yenye orodha ya majina ambayo anadai ni makomandoo wameingizwa nchini toka nje ya nchi kuja kuwatisha wapiga kura wa Igunga,kwanza nimecheka sana na baadae nimetambua hali ya mambo kwa ndugu zetu wa CCM huko Igunga siyo nzuri. Sasa naelewa ni kwanini DC anahaha ktk vijiji na kufanya vikao visivyo halali.
 
Kutokana na maoni ya wenzangu waliotanguli na mimi ninaunga mkono, CHADEMA wawemakini sana na CCM hasa sehemu ambazo wanakuwa na wasiwasi. Wawe karibu na hii jamii ya Igunga watapata hizi mbinu zao chafu. Ninadhani wananchi wa Igunga walishachoka na maisha ya kubabaishana.
 
Huyu mzee kweli kilaza. Lakini si kosa lake, kosa ni walio muweka pale, wote wanapoteza muda ili wahalalishe pesa za kampeni. Hazina kazi ndio maana wanaenda kufanyia ngono kwenye magest.
 
Hii ni aibu kwa chama cha mapinduzi na serikali yake kwani Mzee wa Intelligensia anadhalilishwa na mkama kuwa hajui kazi.
 
Hakuna aliyeshtaki!Mukama katibu mkuu wa CCM ameongea na waandishi wa habari kuishutumu cdm kuwa imeleta makomandoo kuvuruga uchaguzi wa Igunga!Tupo kwenye kampeni na kila shutuma inapotolewa na mpinzani wako kukaa kimya au kueleza tu kuwa 'namsamehe bure'bado haitoshi kumfanya mpiga kura aone kuwa ni kweli ile barua yenye hayo majina yenye saini ya Lwakatare ni ya kutengeneza.Hili suala haliko kortini mkuu feedback.Mara nyingine 'hasa kwenye kampeni' ni lazima kupangua kila propaganda ya mpinzani wako haraka iwezekanavyo.Tuendelee kujadili bila 'ushabiki uliopitiliza'!
Kumpuuza mpinzani wako nayo ni propaganda tosha.
 
Kama kuna kiongozi wa CDM hapa, hususani wewe mleta mada, nawashauri mfikishe mashitaka kwa polisi na kwa tume ya maadili ili Mkama athibitishe kauli yake hiyo na atoe ushaidi. Hili si la kupuuza, walianza kwa kumwagia tindikali, kuchoma moto nyumba, sasa wataua mtu au hata kulipua mabomu, kwani si wana access na jeshi, wakitaka mabomu watapatiwa tu.
Hakuna huo muda wakupoteza yaani Chadema waache kutoa Elimu ya ukombozi kwa wana Igunga na Kwa Watanzania kwa ujumla waangaike na Mkama...Dola yetu haipo huru kuna thread hapa imeongelea jinsi OCD wa Igunga alivyo amishwa katika mazingira tata pia tunakumbuka yule Kamanda mpenda Haki wa Arusha kama nakumbuka vizuri anaitwa Bathlei yaliyomkuta...!Kwahiyo Mkuu kama bado unawaamini polisi umepotoka jaribu tu kulinganisha matukio naufikirishe ubongo kidogo utaupata ukweli.Polisi hawahitaji kupelekewa Taarifa kauli ya Mkama tu ingewaamsha nakumtumia kama source aonyeshe hao Magaidi wa Cdm walipo.
 
kweli ccm inajidhihirisha kwamba imezeeka mpaka kwenye kufikiri na inaonekana inatumia masaburi kufikiria...yaani katibu mkuu baada ya kuongea mambo ya maana anaongea pumba...hv ni kwanini tunaongozwa na chama chenye watu bogus kama hk? wanaingunga wasikubali kuongezwa na watu wasioeleweka kama kina mukama!
 
Nilipomwangalia mzee Mukama alivyokua anaongea kwa jazba huku ameshikilia karatasi yenye orodha ya majina ambayo anadai ni makomandoo wameingizwa nchini toka nje ya nchi kuja kuwatisha wapiga kura wa Igunga,kwanza nimecheka sana na baadae nimetambua hali ya mambo kwa ndugu zetu wa CCM huko Igunga siyo nzuri. Sasa naelewa ni kwanini DC anahaha ktk vijiji na kufanya vikao visivyo halali.
Hayo majina toka Afganstani likikosekana la Abdalah halafu atuwekee la Masanja na Mwankenja najua ni feki.
 
Real,, Mukama anatakiwa awe tayari na taarifa/RB ya polisi, ni madai mazito kuacha yanaelea tu. Ila kwa polisi iliyoegemea upande wa ccm utashangaa wamekaa kimya kabisa
mkuu kuna taarifa kuwa ccm imepanga kuandaa disco usiku wa kuamkia tarehe ya uchaguzi afu wataanzisha vurugu ili vijana wengi wakamatwe na kuwekwa lumande hadi siku ya uchaguzi ipite pia kuna ongezeko la polisi hapa igunga, mf. Jana waliingia polisi 115. Ova
 
CCM kimegeuka kuwa Chama Cha Malalamiko mwisho tunaanza kuwazoea nafikiri wanajiandaa kuwa chama cha upinzani muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom