Mukama aviabisha vyombo vya Usalama: Adai CDM imeingiza mamluki toka ng'ambo

Ni dalili njema za falling empire. huko Afghastan hakuna hata eneo la kulima matuta matatu ya mchicha sembuse eneo la mazoezi ya kijeshi. Kati ya Mukama na Marekani sielewi ni nani wa kwanza ku trace mafunzo ya kijeshi Afghastani.

Mukama anataka kutueleza kuwa wa Tanzania wanachukua mafunzo ya kigaidi Afghastani hivyo Tanzania ni moja ya inchi zinazo support ugaidi?
 
Wakishamaliza kuiponda CHADEMA wanaenda kumalizia hasira zao kwenda kupiga miti wake za wenzao.

Nayo yanayopigiwa miti wake zao yana chekacheka tu na kuisifia ccm mapumbavu sana,si ndio maana wanazaliwa watu wenye vichwa vya nazi TANZANIA.
 
Sijui uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Afghanistan ukoje lakini kauli ya Mukama kwamba CHADEMA wameingiza magaidi 30 toka Afghanistani ina utata. Afghanistan ni taifa huru linaloongozwa na serikali iliyotakana na ridhaa ya wananchi wake. Kama Mukama anao ushahidi wa aliyosema basi ni vema atumie ofisi husika (Foreign Affairs) kupeleka malalamiko yake ili watawala wa Afghanistan watoe majibu ya kwa nini wana export magaidi Tanzania. Kinyume na hapo Mukama atakuwa ameivunjia heshma serikali ya Afghanistan na watu wake kwa kuwaita 'magaidi' Inashangaza kuona aina ya viongozi tulikuwa na kwa muda mrefu. Pengine hii inatupa picha kwa nini nchi hii iko kama kichwa cha mwendawazimu.
 
hizi taarifa nilitumiwa na mwana jf mmoja akiniambia kuwa ccm wanajipanga kutumia mbinu hizi pamoja na kuwambambikia madawa ya kulevya nilizipuuza mnaana niliziona za kitoto/kijinga mno wasingetumia...lakini siku ya 2 baada ya kupata kweli njia moja wameitumia bado ya madawa ya kulevya..
Mkuu wamefanya mchezo wa kitoto, CCM wanatumia siasa za maji ya chooni na safari hii wanaumbuka, Apeleke ushahidi polisi na Nahodha atuambie iweje makomandoo kutoka nje wameingiaje especialy ukizingatia mukama katoa majina na location walizopo inapaswa wakamatwe, najua awezi zibitisha kama zombe alivyoshindwa kuzibitisha wizi wa magari wa Lema aliousema.
 
Tumetengeneza jamii ambayo uongo huelezwa hadharani na wasikilizaji huichekea taarifa ya aina hiyo. Wenzetu kuongopa si tu ni dhambi bali kosa la jinai.

This defeats his reasoning! Inakuaje chama kinachoshutumiwa na ccm kuwa cha "kikristo" kikapeleka vijana mafunzoni afghanstan?

Ebu tuangalie madhara ya uongo wa Mukama. Amewatisha wananchi kuwa kuna magaidi nchini. Kw hy taifa haliko salama. Ameondoa uaminifu kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Ameonesha udhaifu wa vyombo hivyo kushindwa kudhibiti na kuruhusu magaidi nchini. Ameonesha udhaifu wa serikali ya JK. Ameivua umaana CCM.
 
Huyu mkama anatumia makamasi kufikilia badala ya akili,CCM ni genge la majambazi,tumewachoka hawa wizi.
 
SASA NAONA UPEPO UNABADILIKA FULL SHANGWE. KUNA MDAU ALISEMA CDM WANAIMBA WIMBO WA CCM, SASA MIMI NAONA CCM WANAIMBA WIMBO WA CDM.Wakati CDM wanamwaga sera, CCM wanamwaga stori za abunuasi. Duh, yangu macho na masikio
 
Ili kuipangua propaganda basi ni lazima cdm itoe maelezo kuhusu ile barua aliyokuwa nayo mukama aliyodai imesainiwa na Lwakatare.Kusema tu kwamba ni propaganda na kwamba 'tunamsamehe bure'hayatoshi kuwaelewesha wapiga kura.Lazima cdm ijibu hoja hii kwa uzito wake haraka iwezekanavyo.Haitoshi tu kulalamika kuwa 'wanatusingizia.'

Labda tuwakumbushe tu kuwa Mkuu wa CCM alishasaini mkataba na wabangladesh, ninawasiwasi ndio list alipewa na kuweweseka kwa sababu alishalikariri sana jina la CHADEMA basi akawa anapayuka tu.

Hivi wale wabangladesh hawajafika mpaka leo au alimdanganya yule Rais wao mwanamke. CCM kiboko inajua kuwatafuta na kuwaingiza mkenge.
 
Tofauti ya Makamba na Mukama ni a, u na b tu kwenye majina yao. Wote wanapika propaganda za kitoto zenye kukiua chama. Zama hizi si zao tena.
 
[h=2][h=3]Re: Bangladeshi leases Tanzania Land[/h][h=3][URL]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/137815-public-debate-on-land-grabbing-in-tanzania-10.html#post1985728

Re: Dibattito pubblico sulla Terra prendendo in Tanzania[/URL]
[/h]I note that there are investors who want us to give them large tracts of land so that they can grow sugar cane. They would like to produce ethanol for use as engine fuel. I have seen, in our papers, that they want as much as 4,000 hectares each and that this land must come from Bagamoyo and Kisarawe districts.

We want investment, but we cannot hand over huge chunks of our inheritance for it. We have land that is extremely good for growing the food that we eat in those districts, and we must keep it that way. If someone wants us to grow sugar cane there for now (before cars change completely), we will do so, with their cooperation, but the land must remain ours.

Let the government assist the investors so that we reach an understanding whereby each villager gets to plant some sugarcane, with the assistance of the investors, on ten hectares or so. Each villager will look after the crop and sell the entire produce to the investor, at pre-arranged prices. This way, the villagers will not have to GIVE WAY to the investor. They will become participants in the project rather than cheap farm hands that work on land that they once owned.

I would say that 4,000 hectares of prime agricultural land is worth a lot of money. I would value it at around $500 million. We cannot simply disinherit ourselves of our land like that. Carl Peters tried it earlier. He gave us salt in return. Someone else wants to do it again, and this time, all we will get is the privilege of becoming very lowly paid, and despised, farm hands on a master's estate.

Any foreign investment that requires the use of large tracts of land should be a cooperative venture that lets us keep the land. If that cannot be arranged, then we would rather continue to grow cassava and a few other things on our land. That, I submit, is better that handing it over to foreigners.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/137815-public-debate-on-land-grabbing-in-tanzania-16.html#post2190597
[/h]
Alifikiri ni propaganda kumbe ndio anamuunguza mwenzie. Hili la wabangladesh hatujaambiwa kitu chochote ila tunasoma kwenye mitandao tu wanaigunga wamuulize huyu Mukama na sisi tupate jibu.
 
Sasa mukama ndio kabisaa akili yake
ni mgando atoe ushahidi la sivyo
usalama wa taifa umedhalilishwa
kuwa wapo likizo kwa Kauli za
mukama ccm wanaunda bomu la
kuwauwa wenyewe mukama na ccm tunasema
mkubwa hatishiwi nyau .
Kama Mkama anakiamini hicho alichokisema, sasa aonyeshe mfano! Amshinikize waziri wa Mambo ya ndani ajiuzuru mara moja kwa kuruhusu makomandoo hao kuingia nchini kinyume cha sheria! Kisha na yeye ajiuzuru kwa kuwa chama chake kinaongoza serikali isiyowajibika. Chadema ungeni mkono hoja ya Mkama haraka kwamba ni kweli kuna makomandoo na kisha ashinikizwe kujiuzuru!
 
ugonjwa wa ccm ni nini? Tufanye kila tunaloweza kujaza vyoo vyote vya Igunga na kadi za ccm!
 
Mwanzo wa mwisho wa chama magamba umewadia. Akili "sifuri", ufisadi "mia". Mtoto wa rais magumashi wa usalama wa taifa ana utajiri wa robo tz, shule kamaliza juzi! Rais magumashi mkuu wa chama chetu amekuwa vasco dagama akitalii dunia nzima na kubembea Jamaica kama toto tundu, katibu mkuu wa chama chetu akili zimeyeyushwa na jua kali la igunga maana hana nywele kichwani kujikinga na dhahama ya jua. Mh! chama chetu bye bye. Tumeshindwa kabla kura kupigwa! Usalama wa taifa tusaidieni tena Igunga jamani.
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa Siasa za CCM kwa kipindi kirefu sana. lakini hili la Bwana Mukama la kusema CDM imeleta makomandoo linanishangaza kidogo 1. CCM ni chama kinachoendesha Ugaidi hapa Tz. Kina mtandao wake wa Kuteka nyara wagombea wa vyama vingine kama kitakuwa kimeshikwa pabaya wakati wa mazeozi ya kurudisha Fomu za wagombea. 2.Ndicho chenye mtandao wa kununua viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwaua kisiasa mifano ipo wazi (tambwe hiza,Masumbuko Lamwai,Augustino Lyatonga Mrema) Wadau wa JF hapa tusaidiane mawazo. Kama bungeni wabunge wa CCM waligushi saini ya waziri Mkuu na ahwakuchukuliwa hatua zozote itakuwa saini ya Lwakatare !
 
Hao magamba watatapatapa lakini mwisho wa yote ni kufa kifo kitakatifu.
 
Mukama lazima awe anavuta bangi, hii siyo kauli ya mtu anayetumia akili kufikiri.Natoa ushauri kwa JK huyu Katibu Mkuu wake akapimwe akili isije kuwa lile bichwa limejaa nta ya moshi wa bangi badala ya ubongo.
 
Jana tumeshuhudia kauli tata ya katibu mkuu wa CCM, akidai kuwa CDM imeingiza Makomandoo 33 waliofunzwa Afghanistan ambao ndo chanzo cha vurugu Igunga? kauli km hizi zinatoa picha gani kwa nchi?
1. kauli hii inaidhalilisha nchi na serikali yake na vyombo vya dola ambao kwa pamoja wanajukumu la kulinda mipaka, watu na mali zao. km hivi ndivyo anavyodai Mkama ni hatari sana kwa nchi km tumefika hapa.
2. Mkama na CCM hawastahili kuendelea kuongoza nchi hii.

Km kauli hizi za akina Mkama na wenzake wanadhani ndo silaha ya ushindi ili kuwatisha watu wasichague upinzani, basi wameishiwa sera kabisa.

Ni jukumu la kila mmoja wetu kukemea kauli hizi ambazo zinaidhalilisha nchi kwa maslahi ya watu wachache.

Naomba kuwasilisha wadau.
 
Mmemuona Rage na bastola yake kwenye jukwaa la kampeni huko Igunga? Huyu bwana ni MSOMALI halisi!
 
Back
Top Bottom