Mujahidina waweka kambi hospitali ya temeke

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo mujahidin waliopiga kambi pale ndiyo wanaondoa maradhi na vifo ?

Wanawaliwaza na kuwasaidia wagonjwa basi inatosha! Na wanaokosa dawa wananunuliwa na wasio na nauli za kurejea nyumbani baada ya matibabu wanapewa n.k. Yaani ni kuonyesha Utu na thamani yake.
 
hawa watu wanaongoza kwa mishangazo duniani! Kazi ipo, kubwa tena!
hawajui wafanyayo; hawana mwongozo ; hofu ndio maradhi yao.
Vipi wanashindwa kupita katika hospitali hizo kwa nia ya kujionea kinachofanyika ndipo warudi hapa kuandika?
 
USILOLIJUA; LISIKUSHUGHULISHE!!!
"NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK"
Hata hivyo hofu tu ndio imekutawala, vinginevyo unayofursa ya kuongea na hao jamaa. Hata kuwauliza chanzo cha kipato chao au huduma wanazotoa fedha wanapata wapi. Kama Binadamu mwenye huruma (Msamaria mwema) unayo fursa ya kuchangia mali yako na nguvu zako kuwaunga mkono na sio kuwavunja moyo.
Kuna Jamaa kibao wanapita mawodini wakikimea kwa Jina la Yesu, kwa kutoa sauti za juu; Ukweli ni kuwa mbali na kuwasumbua wagonjwa, hawatoi msaada hata wa kumpeleka chooni mgonjwa mhitaji. Na Maradhi na vifo viko pale pale.
Right to speak here is important coz hawa watu siku hizi si wema kabisa wasije anza kujilipua bure. Now days when i walk when i see a muslim always my mind stay concious coz anything may happen. hawa watu siku hizi mkuu hatuwaamini kwa tabia zao za kujichukulia sheria mkononi. Ibada gani unafanya kila siku eneo moja na hufanyi kazi kutwa kukaa na kupiga kelele, hata Mungu anasema jiasidie nami nitakusaidia. Afu mbona huku mikoani hakuna labda wa kuosha maiti nimemuona mzee mmoja pale iringa anatokea kidamali kuja kuosha maiti Iringa mjini. hii ndo kazi yake lakini si kweli wewe unasemama unaombea wagonjwa bila kuwasaidia huduma zinazowasumbua kila siku kama ukosefu wa fedha za matibabu, ukosefu wa chakula. sasa kama hawa wanashinda wamekaa kutwa nzima hela za kuwasaidia hawa wagonjwa wasiojiweza watapata wapi.
hata utetee sioni logic there is something behind this agenda, coz usually weak agenda come first behind the main agenda. Siku hizi kwa taarifa yako kila anachofanya mwislamu sisi wapagani lazima tujiulize kinamaana gani tukiona kina hatari kwenye ustawi wetu lazima tutoe taarifa mahali hisika na sisi wanyewe kujiandaa kwa namna ya kuhandle in a diplomatoc way.
 
Wanawaliwaza na kuwasaidia wagonjwa basi inatosha! Na wanaokosa dawa wananunuliwa na wasio na nauli za kurejea nyumbani baada ya matibabu wanapewa n.k. Yaani ni kuonyesha Utu na thamani yake.
Teh teh teh...dah!
 
Wanawaliwaza na kuwasaidia wagonjwa basi inatosha! Na wanaokosa dawa wananunuliwa na wasio na nauli za kurejea nyumbani baada ya matibabu wanapewa n.k. Yaani ni kuonyesha Utu na thamani yake.

Wanawasaidia wakati wao wenyewe wanahitaji msaada.
 
NINYI *&^$ HAMNA HERI HATA MMOJA!
KABLA YA KUANDIKA HAYA, UNGEJISUMBUA KIDOGO TU KWENDA KUONANA NA UONGOZI WA HOSPITALI HUSIKA ILI UPATE TAARIFA SAHIHI AU WASILIANA NA MANESI WANAOFANYA KAZI MAWODINI ILI UJUE ZAIDI. NA KWA TAARIFA YAKO ZOEZI HILO LINAFANYIKA HOSPITALI ZOTE, ILALA, MWANANYAMALA, OCEAN RD, MUHIMBILI NA HATA MIKOANI.
JIULIZE WEWE BINAFSI NI LINI UMEKWENDA HOSPITALI YEYOTE KUMUONA MGONJWA ASIYEKUHUSU AU KUMSAIDIA USIYEMJUA?
KWA WAISLAMU , HIYO NI IBADA; NA HUWEZI KUJUA NI KIASI GANI WAGONJWA WASIOKUWA NA JAMAA AU WALIOTELEKEZWA NA WATU WAO WAMEFARIJIKA KWA HUDUMA ZA HAO UNAOWAITA
(Mujahidina).

TAFAKARI; CHUKUA HATUA SASA!
NDUGU TUSAIDIE HAPA JE WANALIPWA NA NANI? Kama hawalipwi wanaendeshaje maisha yao na familia zao? Ni kweli kuhudumia mgonjwa ni wajibu wa kila mtu, na vizuri kufanya wema, WANAWEZAJE KUKAA HAPO BILA KUFANYA KAZI WANAPATAJE RIZIKI ZAO
 
hawa watu wanaongoza kwa mishangazo duniani! kazi ipo, kubwa tena!

Lakini cha kuelewa iko siku serikali hii isiyochukuaga hatua kwa vitu mpaka waone madhara,
hili suala litakuja wagharimu
 
hawajui wafanyayo; hawana mwongozo ; hofu ndio maradhi yao.
Vipi wanashindwa kupita katika hospitali hizo kwa nia ya kujionea kinachofanyika ndipo warudi hapa kuandika?
Tunaandika baada ya kupita huko nakufuatilia kwa karibu juu ya kinachoendelea toka kwa mganga
mkuu na hawa mjahidina kuwa kilicho nyuma yao ni zaidi ya huduma ila kuingiza udini Manispaa yote
ya Temeke.
 
Precisely...kusilimisha manispaa yote ya Temeke.
 
Hakuna mtu anakataa suala la wagonjwa kupewa huduma,lakini ndugu yangu nikuuluze ibada
ni kuona wagonjwa na kuwasaidia au kushinda hospitali naswala zote zinafanyika kwenye uwanja
wa hospitali!!Na je hawa watu wanaishi kwa nguvu ya nani?mahitaji yao wanapata wapi pasipo
kufanya kazi?je hawana familia?kama wanazo wanazihudumia kwa kipato gani? Think Twice"

Binafsi yangu nimewahi kuwakuta mwananyamala,na nilitaka kujua wanachofanya,dada nilieongea nae akasema wamejitolea kuangalia wagonjwa ambao hawana ndugu kwa kuwahudumia chakula na matibabu,wanapata hela kutoka misikitini kwenye sadaka,ambapo wanafahamika karibu kila msikiti na kuna fungu la sadaka huwa wanapelekewa,wanafanya ibada hapo kwa ajili ya kusave muda wa kwenda msikitini na kurudi,maana idadi ya wagonjwa ni kubwa ukilinganisha na wao.

Mimi naona ni jambo zuri wanalofanya,sasa sielewi mnaocomment kwa kashfa na dharau ni kwa kuwa hamjui wanachofanya au kwa kuwa ni waisalamu wanaofanya hivyo na sio wakiristo,nashindwa kuelewa kuna tatizo gani?
 
Tatizo si dini ya kiislamu au kutoa huduma kwao,tatizo ni je mazingira ya amani yataendelea?hasa baada ya matukio ya hivi karibuni!
 
Avatar yako inanifanya niamini hata sasa umevaa suruali fupi na videvu vimekuning'inia kama mbuzi wa mnadani. Kama usilolijua liskushughulishe basi hii nchi itakuwa hatarini.

Huduma gani ya wagonjwa mwaka mzima? Hiyo damu wanatolewa kila siku?

Wewe yaelekea ni mmoja wao na ndio maana unatoka povu, sasa hebu tuambie, pale mna biashara gani?

Haya mkuu Chuki Za nini?

mwaka mzima lkn huwa wanapishana kuna watu wanakaa wiki miezi.lkn kinacho kuuma Wewe ni kipi? kujitolea kwao au kwa kuwa wao ni waislamu?
 
mapovu mengi humu......kama mna mashaka nao hao watu basi nendeni mkalinde usalama wa maeneo hayo
 
Hakuna mtu anakataa suala la wagonjwa kupewa huduma,lakini ndugu yangu nikuuluze ibada
ni kuona wagonjwa na kuwasaidia au kushinda hospitali naswala zote zinafanyika kwenye uwanja
wa hospitali!!Na je hawa watu wanaishi kwa nguvu ya nani?mahitaji yao wanapata wapi pasipo
kufanya kazi?je hawana familia?kama wanazo wanazihudumia kwa kipato gani? Think Twice"

Naona umeongea mambo meengi hebu jaribu kuekeza tatizo lako ni nini hasa!.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Haya mkuu Chuki Za nini?

mwaka mzima lkn huwa wanapishana kuna watu wanakaa wiki miezi.lkn kinacho kuuma Wewe ni kipi? kujitolea kwao au kwa kuwa wao ni waislamu?

Hao wewe achana nao yaani wanachukia hata jambo zuri kwakuwa tu lime fanywa na muislam kama vile hii n chi yao pekeyao:banghead:

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
hao wewe achana nao yaani wanachukia hata jambo zuri kwakuwa tu lime fanywa na muislam kama vile hii n chi yao pekeyao:banghead:

Sent from my gt-i9300 using tapatalk 2

na wao si tunawaona wakitoa huduma ya maombi ya bwana pale kila siku za ziendazo kwa mungu
sasa tatzo nini kisa wamefanya waislam??
Na usikute hapo hayo anayoyasema kaongezea chumvi ili aupake tope uislam
sasa nishaipata mantiki yake
 
Hao wewe achana nao yaani wanachukia hata jambo zuri kwakuwa tu lime fanywa na muislam kama vile hii n chi yao pekeyao:banghead:

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Mmejitahidi kutoka mapovu lakini hoja za msingi kama zilivyo kwenye topic hamjazijibu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom