Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Umekaa kisiasa zaidi,nadhani hata ukinya unachunguza rangi yametoka ya ki CCM au rangi ya Chadema.

Makubwaaa! Mimi ni Mtanganyika asili, kwetu Katavi, siasa za vyama kwangu si sana. Msalani kwangu nina choo cha ku-flush automatic wala sijawahi ona choo changu. Halafu wewe kwa kurejea maandiko yako nahisi ni mgomvi mgomvi kiasi.

Hapa tume kuja kufuata muziki hatukuja kuchunguzana vilema..)Maalim Gurumo at ddc kariakoo,Rip mkongwe.!
 
Makubwaaa! Mimi ni Mtanganyika asili, kwetu Katavi, siasa za vyama kwangu si sana. Msalani kwangu nina choo cha ku-flush automatic wala sijawahi ona choo changu. Halafu wewe kwa kurejea maandiko yako nahisi ni mgomvi mgomvi kiasi.

Samahani Mama Mdogo nilidhani na wewe ndo wale wala siasa wanya siasa.
 
poleni sana wafiwa!mungu amlaze mahali Pema peponi! hakika mchango wake katika Tasnia ya muziki Tanzania hautosaulika kamwe
 
Afadhali nimeona iyo picha ndo namjua

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom