Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

R.I.P Mzee Ngurumo....Tunaiombea familia yake moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu kwao.
 
Miss you Mzee Muhidi Gurumo, rest in peace.
<strong>

Angalizo: wanasiasa wasijetumia msiba wake kuweka distraction watu waache kufuatilia mada kuu, bunge la katiba na uwajibikaji wa serikali kupambana na mafuriko.
 
Last edited by a moderator:

Umekaa kisiasa zaidi,nadhani hata ukinya unachunguza rangi yametoka ya ki CCM au rangi ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
lakini siku hizi shilingi sita hata mkate hupatiiii......kwa hiyo wanangu muishi kutokana na wakatiii
 
" sasa pesa zimemuishia kassim hana la kufanya eeeh"????

Bila kusahau "wakati wa ujana wangu mimi baba yenu..." nazipenda sana hizi nyimbo.
Poleni sana Familia ya Gurumo kwa kuondokewa na Mzee wenuna Kiongozi wenu. Mwenyezi ampe pumziko la milele, Amina!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom