Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
huyu na yule muiran napenda sana wanavyowaambia ukweli.
Muuza sura wetu je!! Hakuongea!!!
Give the devil his due, as the saying goes!Kwa nini asijiwashie moto mwenyewe kwa mahotel anayomiliki Malaysia na Hong Kong na mali aliyolimbikiza mkewe wakati umasikini unakithiri kwa watu wa hali ya chini nchini mwake. Huu ni unafiki at its best