Mugabe awasha moto UN!

Baada ya hii hotuba sidhani kama ICC watakuwa na ubavu wa kumkamata Mugabe!
 
Waswahili tunashangilia sana kwasababu Mugabe kageuka tarishi wa mawazo yetu kule UN lakini tumesahau kuwa jamaa kawakalia wazim mpaka hawapumui wanatafuta msaada hawapati. Sie tumekaliwa na CCM kama wazim walivyokaliwa na Mugabe lkn tumesahau kuwa Mugabe na CCM ni kitu kimoja na anapayuka huko UN ili apate support kutoka kwa wahafidhina wa kiafrika ambao mpaka sasa wanadhani mkoloni lazima awe mzungu kumbe kwa sasa wakoloni weusi ndo wabaya zaidi.
 
Kwa nini asijiwashie moto mwenyewe kwa mahotel anayomiliki Malaysia na Hong Kong na mali aliyolimbikiza mkewe wakati umasikini unakithiri kwa watu wa hali ya chini nchini mwake. Huu ni unafiki at its best
 
Give the devil his due, as the saying goes!
 
Thats Bob Mugabe the only african leader anayesema ukweli hata kama western hawapendi kuusikia ingawa nae ana matatizo yake kule Zim ila linapokuja swala la International forum huwa ananifurahisha sana manenoi makali kwa "wakubwa"
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom