Goldman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 1,930
- 2,397
Sasa mna masuper star kama shibori/shiboli wakamuuliza jina lako lipi sahihi akasema hajui maana shule hakwenda ila alikuwa anahudhuria madrasa! Kama mtu kapata 0 it means 0 kwa nini apewe marks zisizo zake? Hatujafikia sehemu ya kwamba ukiona jina tofauti kidini unamfanyia mtu vibaya, hatujafikia huko na haitakiwi tufike huko.