Muda si mrefu Simba itarudi kwenye class yake. Form is temporary, but class is permanent

Simba ni TOP CLASS!! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!! Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary!! Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!!
Sio kwa timu hii ninayoiona mimi. Simba kwanza walihitaji kuongeza wachezaji wazuri kuongeza nguvu waliopo. Ni bahati mbaya aliyekuwa bora ni Che Malone, wengine hamna kitu. Wachezaji wa Simba wamechoka, uwezo umepungua kwa msimu huu wanapoteza tena.
 
Class IPI wewe?
Form four failure nayo ni class, maana kila mkijipapatua mnaishia pale pale ,yaani hata mkibebwa.
Asante kwa kujitoa ufahamu!! Unafikiri walikosea walioiweka Simba miongoni mwa timu bora 8 kushiriki mashindano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE? Simba ni TOP CLASS!!
 
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!

Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
Sio kwa mwenyekiti mangungo.
Timu haiwezi kuendekea kwa kuongozwa na mwanasiasa.Hawa wanasiasa wa ccm wana dharau sana wanaowaongoza.Zile dharau za kwenye chama na serikali wanazihamishia kwenye timu,timu haiwezi kwenda

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Simba ni TOP CLASS! ni bahati mbaya tu TEMPORARILY wapo kwenye LOW FORM!

Wanaoujua mpira wanafahamu kuwa class is permanent but form is temporary. Ni suala la muda mfupi tu uto watakimbiana!
haya ndiyo maneno. Kulikuwa na tatizo kwenye benchi la ufundi, mbinu kidogo hazikutosha pia physical fitness ilikuwa duni, wale wapambaji wao walikuwa wanafanya mazoezi yao binafsi - Kibu mkandaji, Mohamed Hussein. Wengine waliotegemea mazoezi ya kocha ndiyo hao dk 60 ulimi nje

Class ya wachezaji ni ile ile, watarudi tu.
 
Back
Top Bottom