Kocha Benchikha ana kitu Kama asipoingiliwa kwenye majukumu yake Basi tutegemee makubwa katika Simba SC

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,377
12,937
Ndiyo! Waswahili Wanasema "mnyonge mnyongeni haki yake mpeni"

Nimetazama mechi mbili za Simba sc kwenye michuano ya CAF haswa mechi ya Jwaneng Galaxy na Wydad nimeona mabadiliko makubwa sana kwa wachezaji.

1/spirit ya kupambana hii nimeiona katika mechi ya Wydad Simba wamecheza mpira Kama wapo kwa mkapa hakuna unyonge hakuna kuogopa kwa kweli wachezaji wameupiga mwingi hii ndiyo maana halisi ya kumwaga jasho na damu.
Fabrice Ngoma, Che Malone fondoh Kibu Denis Hawa ni maana halisi ya kujituma

2/Pira Arabic (Pira kasi) Chama anaanzia benchi huku Onana akiingizwa kidogo kidogo kwenye mfumo na huu ni ufundi wa kocha Benchikha kutokana na Falsafa yake ya mpira Kasi Chama Hana Kasi na siyo mkabaji hicho ndicho kinacho muweka benchi na Onana kuaminiwa na mwalimu.

Kama Benchikha ataongezewa wachezaji kwenye dirisha dogo hakika atarudisha furaha ya wanasimba waliyoikosa kwa muda mrefu.
 
Kilichoongezeka ni hali ya upambanaji kwa wachezaji kutokana na kutaka kumshawishi kocha wapate namba, angalia mpira uliochezwa kati ya Simba na Al Ahly kwenye AFL, ili ujue wachezaji wa Simba wakiamua kujitoa kupambana ni mpira wa aina gani unachezeka.
 
Jamaa anafeli wapi kuelewa jambo rahisi sana kama hili, Kocha hana hata mechi 3 au 5 tayari anasifiwa...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Simba huwa mna ujinga wakusifia vitu vya hovyooo!!, Yaani mechi mbili zisizo na matoke chanya unamsifia kocha aliyeiacha USM Algers nafasi ya 10 huko?. Kilichotokea hapo ni spirit ya upambanaji ww wachezaji ili wapate namba... Subiri mechi 10 zake njoo hapa umsifie.
 
SOMA VIZURI HALAFU UJE UKOMENT
 
Timu iliyokuwa inafundishwa na Benchika ya USM Alger bado iko kwenye confederation cup hata mwaka huu; hakuisadia kuingia kwenye Championship league!!
 
Ww Yanga ila una akili mnoo...kongole kwako..kwny ukweli unasema ukweli..
Benchika for changes...
Humu mnafurahisha mtu akiisifia timu ya upinzani ana akili ,akitoa kasoro anakua uto, dah watanzania wachawi ni nyinyi wenyewe ktk mpira
 
Simba huwa mna ujinga wakusifia vitu vya hovyooo!!, Yaani mechi mbili zisizo na matoke chanya unamsifia kocha aliyeiacha USM Algers nafasi ya 10 huko?. Kilichotokea hapo ni spirit ya upambanaji ww wachezaji ili wapate namba... Subiri mechi 10 zake njoo hapa umsifie.
Wasifieni tu si ndio wanavyopenda
 
Simba huwa mna ujinga wakusifia vitu vya hovyooo!!, Yaani mechi mbili zisizo na matoke chanya unamsifia kocha aliyeiacha USM Algers nafasi ya 10 huko?. Kilichotokea hapo ni spirit ya upambanaji ww wachezaji ili wapate namba... Subiri mechi 10 zake njoo hapa umsifie.
ww huyu si alikugonga tena dasilama hap hap???
 
Humu mnafurahisha mtu akiisifia timu ya upinzani ana akili ,akitoa kasoro anakua uto, dah watanzania wachawi ni nyinyi wenyewe ktk mpira
Kwani kasema uongo? Mara ngapi walikua wanamsema Robetinyo na watu wa Simba wakawa wanasapoti? Sema ni ile kukataa ukweli wakati kocha ana muelekeo mzuri.
 
Uzuri mie sio mgeeni na nyie humu, tusubiri muda ufike, nitakua nawakumbusha, awe kolo au uto
 
Back
Top Bottom