Muda Muafaka wa kuingia kwenye Ndoa..

arnolds

Senior Member
Oct 10, 2009
105
57
Amani kwenu wadau. natumai wote mu wazima..nahitaji msaada ktk hili. Je muda
wa kuoa / kuingia kwenye ndoa ni upi?..na Je ni sahihi kuangalia kigezo cha umri
au kazi kabla ya kuamua kuingia kwenye ndoa?.
thanks wanajamvi, naomba kuwasilisha.
 
Ukishaona una uwezo wa kapambana na misukosuko ya ndoa, ukajifunza kuwa mvumilivu, si mwepesi wa hasira na mwenye kutumia busara kwenye maamuzi yako na si mtu wa kukurupuka kwenye maamuzi na mwenye njia, nia na mikakati ya kupambana na uchumi na kumudu kuitunza familia yako, huo ndiyo utakuwa umri sahihi wa kuoa.:A S embarassed:
 
au kaz
i kabla ya kuamua kuingia kwenye ndoa?.
thanks wanajamvi, naomba kuwasilisha.
Kigezo kikuu kwa mtoto wa kiume ni pale anapobarehe tu, na kwa mtoto wa kike ni pale anapovunja ungo tu. Na suala la kazi nadhani ni open ended, unamaanisha kazi za ofisini, kilimo, umachinga au uosha magari? Nijuavyo mimi karibia watu wote wanafanya kazi.
 
ninavyojua mimi, mtoto wa kiume anapobalehe au wa kike anapovunja ungo anakua sexually active!..and marriage is not all about sex!.kuna attributes nyingine ambazo zina uzito wake kabla ya kuamua kuoa/kuolewa!. ni kweli kila mtu ana kazi (just for the sake of arguing)
 
Ukishaona una uwezo wa kapambana na misukosuko ya ndoa, ukajifunza kuwa mvumilivu, si mwepesi wa hasira na mwenye kutumia busara kwenye maamuzi yako na si mtu wa kukurupuka kwenye maamuzi na mwenye njia, nia na mikakati ya kupambana na uchumi na kumudu kuitunza familia yako, huo ndiyo utakuwa umri sahihi wa kuoa.:A S embarassed:

yap, umenena mdau!..i could use constructive minds like yours!.
 
Amani kwenu wadau. natumai wote mu wazima..nahitaji msaada ktk hili. Je muda
wa kuoa / kuingia kwenye ndoa ni upi?..na Je ni sahihi kuangalia kigezo cha umri
au kazi kabla ya kuamua kuingia kwenye ndoa?.
thanks wanajamvi, naomba kuwasilisha.

Muda muafaka ni pale wewe unapoamini kuwa upo tayar kuhimili misukosuko na majukumu yote yanayohusiana na ndoa hiyo..Upo tayar kuwa mhimili wa familia..?..Suala la umri na kazi sio muhimu kwa kweli..kinacho matter ni kiasi gani mnapendana na utayar wenu kuishi pamoja kama mke na mume chini ya paa moja...
 
ebwana wee muda wa kuingia ni pale unapo ona kweli wewe upo ready for committed relationship na pia upo tayari kujiweka wewe second na partner wako first.
kuhusu kazi...unajua ata malkia elizabeth alimuuliza kate middleton wewe unafanya kazi gani...alipojiju kuwa yeye anavolunteer akambia get a proper job!!! sasa kazi muhimu ndugu yangu sis ya siku unaweza kuwa six feet under watoto wasije wakaiona dunia chungu. in short kazi nzuri ni security.

kuhusu umri mie naona napo uwe makini maana mkipshana sana na interests nzao kuna uwezekano zikawa tofauti so anaglia age diference isizidi miaka mitano.
 
Kigezo kikuu kwa mtoto wa kiume ni pale anapobarehe tu, na kwa mtoto wa kike ni pale anapovunja ungo tu. Na suala la kazi nadhani ni open ended, unamaanisha kazi za ofisini, kilimo, umachinga au uosha magari? Nijuavyo mimi karibia watu wote wanafanya kazi.

Si kazi inayomudu kuitunza familia wewe!
 
Siku ya kwanza tu ulipofanya TENDO LA NDOA

Kama ulikuwa hujaoa haliitwi tendo la ndoa bali ni kuzini. Na je kama mtu alizini mara ya kwanza akiwa na miaka 7 inamaana anafaa kuoa? Next time tumia akili kwenye kutoa ushauri kwenye mambo ya maendeleo kama haya
 
Muda muafaka ni pale wewe unapoamini kuwa upo tayar kuhimili misukosuko na majukumu yote yanayohusiana na ndoa hiyo..Upo tayar kuwa mhimili wa familia..?..Suala la umri na kazi sio muhimu kwa kweli..kinacho matter ni kiasi gani mnapendana na utayar wenu kuishi pamoja kama mke na mume chini ya paa moja...

Usipokuwa na kazi hiyo familia itajiendesha je? Na ikitokea mtoto au mmoja wenu anaumwa itakuwaje kama hamna kipato?
 
Time will tell pia mwombe sana Mungu kwani atakuonyesha wakati sahihi na mtu sahihi
 
Back
Top Bottom