Muazaji asali asifu asali yake...kasahau kama mwanamke ni mtamu kuliko asali yake.

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,030
Kulikuwa na muzaji asali alikuwa akisifu asali zake...Kuna jamaa akamuambia yani hakuna kitu kitama kuliko asali zako akasema ndio....Jamaa akamwambia na mwanamke je? Akasema wapi mwanamke atakuwa mtamu kama asali.

Jamaa akamuambia muzaji asali tupinge kila mmoja aweke million hapa...mimi ntakuletea mwanamke mtamu kuliko asali zako, afu akiwa si mtamu kuliko asali zako mimi nakupa million tatu badala ya moja...muzaji asali akacheka kwa dharau na kusema wewe usije filisika...in short...Jamaa akaleta mwanamke akamwambia wewe weka asali yako kwenye kikombe na kila ukipiga wmanamke uwe unalamba asali unaweka kwenye mdomo...ukiweka kidole kwenye shavu au chini ya kidevu au popote zaidi ya mdomoni basi million ni yangu, ukiendelea kuweka asali kwenye mdomo, mpaa mnamaliza basi asali yako tamu.

Basi mnadhani jamaa aliweka kidole mdomoni mana alikuwa anachovya asali mara ajbandike mashavuni ,mara kwenye jicho pale time anakaribia kupi iiiiiiiiizi, iilibdii muzaji asali anyamaze tena kujisifu kuanzia siku hiyo kwamba hakuna kitu kitamu kama asali...Akawa anasema asali yake tamu kuliko vitu vyote isipokuwa mwanamke tu :biggrin:
 
Nimecheka lakini nijuavyo mimi, Asali ni tamu lakini kufanya mapenzi si tamu maana vitu vitamu lazima vitestiwe na ulimi.....lol
 
angeingiza kidole kwenye asali na kingine kwenye *******:lock1: alafu alambe kimoja then cha pili ndio atajua ipi tamu
 
Back
Top Bottom